Aendelee kupumzika kwa aman mc stopperMukhsin mambo...kama utani ..mwaka umekatika bila uwepo wapo duniani...rfa na startv mlizifanya zinga're....rip mukhsin mambo ,rip fredwaa
Tareh kama ya hii nilipata taarifa ya kifo chako bro...
Ulinifundisha vitu kibao bado naishi navyo...
Yaah.alifariki akiwa nje ya nchiAliugua au?
So sad...RIP Mc Stopper. Umenikumbusha machungu. Fredwaa naye dah
Ni kweli..bro hakuwa na majivuno ..tofauti na ukubwa wa jina lake....nafurahi kuwa mmoja wa wanafunzi wakeMungu ampe pumziko la milele, Nakumbuka ilikua 2016 nikiwa Arusha nikapata simu yake, akaniita 'haraka' DSM..akiwa TV1..Nikafanya msimu wa pili wa kipindi cha Boys Boys na Daniel Kijo..He was a cool brother (Sikuwahi kumfahamu wala kukutana naye kabla)..alionesha kunifahamu na kunifuatilia hata kwenye mitandao.. Mungu amrehemu Muhsin Mambo..!
Kumbe alitokea radio free... Mimi nilikuwa ntandao wa radio free enzi hizo wakati inatisha na mavipindi ya maana kama mambo mambo, je, huu ni uungwana, sitosahau, love story, the weekend show, na kile kipindi cha glory robinson na kidbway, kuna kipindi cha sky walker jina nimesahau, yani ilikuwa hatari
Wacha utani kwenye misiba ya wenzako.Itapohamia kwenu ndio utapata majibu kama ni kifo cha ghafla au pneumonia!Ni kifo cha ghafla au ni pneumonia?
Ina maana wao wakiupata hawajitibu? Ila yeye tu ndio anameza dawa na kuendelea kuusambaza??Huyu mama alishawaondoa vijana kadhaa wa pale Makumbusho kwa kuwaunganisha na grid ya taifa