huyu mtangazaji hata mimi huwa ananikera sijui kama ni wa kawaida huwezi kuwa unachekacheka namna eti ndo unafurahia kazi. atakuwa na tatizo la kisaikolojia si wa kawaida huyu makerubi. kumbe tupo wengi wenye uelewa mkubwa wengnine kwa utoto huwa wanaona it is ok. unajua tunatofautiana uwezo wa kuelewa mambo n.k mi nadhan maybe angefaa kutangaza kipind cha watoto wa chekechea but si kipind serious cha watu wenye uelewa kaam sisi. na hata ukiangalia wanouunga mkono utangazaji wake weng ni watoto na div 5 maana sidhan mtu mwelewa anaweza furahia jambo hilo. my galfriend tu huwa hapend hata kumwangalia coz anapata mawazo kuwa huyu atakuwa na tatizo upstairs though mi namkatalia namwambia ni dizain tu ya watu. but the guy has a serious problem