Mtangazaji Jonijoo atoka Wasafi FM/TV na kuhamia ETV/EFM

Me naongelea issue ya media wew unazn mawingu Fm wawatoe watangazaji wa xxl (wawabadilishe or wahame kabisa) lazima mtikisiko utakuwa mkubwa na inaweza kupotea kabisa
Kwa issue ya EAST Africa & TV ndio wamepita wengi ila imefifia sio kama zamani mfano nani alikuwa anacha kutazam kipindi cha sikonga, zekomedi ya kina joti na masanja na uswazi lakini leo walivondoka presenter wenye majina watazamaji na sikilizaji wamepungua so jamaa wamesepa na vijiji vyao
 

Naunga Mkono hoja
 

Kusema ukweli kati ya ujinga ulishawai fanywa mbele ya Diamond wa wazi kabisa ni huu wa kuua kipindi cha block 88.9i vijana hawa ndio walikuwa msingi mkubwa wa wasafi!

Diamond amekurupuka kukiua hicho kipindi ....


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Kusema ukweli kati ya ujinga ulishawai fanywa mbele ya Diamond wa wazi kabisa ni huu wa kuua kipindi cha block 88.9i vijana hawa ndio walikuwa msingi mkubwa wa wasafi!

Diamond amekurupuka kukiua hicho kipindi ....


Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Umenisikitisha Sana.
 
I just think Diamond alikosea kuwavuta hio 'cream' ya watangazaji wazuri kutoka stesheni nyingine..anachotakiwa ni kupata mtu kama 'creativity manager' anayeweza ku transform hivyo vipaji into something useful....kuchukua tu vipaji na kuwaweka pamoja kama mayai bila ya kujua utafanya nini hivyo vipaji vikuletee faida..ni wastage of money and time.
 
Ile ni identity yake.

Identity yake ndo kufanya kipindi cha aina moja throughout, kwenye redio tatu tofauti?

As a digital content creator by now you should know creativity siyo kubadilisha maneno Mara Sijui bango blah blah ni kuleta a new thing on the table na watu wakafurahi. Refer to Salama Jabir. From PB, Mkasi to Ngaz kwa Ngaz yes Vyote ni Entertainment lakini amecheza miguu tofauti.

Inawezekana hukunielewa mwanzo but that's what I meant. Akienda Efm alaf akakuta kipindi kama alichokuwa anafanya Wasafi kipo, alafu akakiendeleza without changing Anything kuvutia watu in the name of identity huo ni utopolo.

Alafu nyie mnaojiita content creators wabongo mna kazi gani?
 
Umeongea point nzuri Sana.
 
Mkuu mimi nimetoa mfano tu, labda nikukumbushe Planet Bongo alikuwaga Salama akajaga Dulla lakini maisha yanaendelea pia hakuna sehemu tunaweza pata uhakika kwamba watazamaji au wasikilizaji wamepungua kwa kiasi fulani mimi naamini hata hapo XXL wakiondoka watu Clouds itayumba lakini itasimama sababu sio kwamba hao watu ni irreplaceable hakuna mtu anazidi umaarufu kushinda taasisi mkuu
 
Media ni kama timu za mpira. Unaweza kununua wachezaji wenye majina makubwa kwenye first 11 then baada ya msimu mmoja wakaanza kuchomoka mmoja mmoja. Hapo tatizo ni kufanya usajili wa sifa wakati kuhudumia kwa kutegemea mapato ya team haiwezekani.
 
Media ni kama timu za mpira. Unaweza kununua wachezaji wenye majina makubwa kwenye first 11 then baada ya msimu mmoja wakaanza kuchomoka mmoja mmoja. Hapo tatizo ni kufanya usajili wa sifa wakati kuhudumia kwa kutegemea mapato ya team haiwezekani.
Kwani maulidi kitenge na Jonijo yupi analipwa mshahara mkubwa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…