PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nimemsikiliza asubuhi, kasema kabisa yeye kama yeye kwenye sifa hizo za serekali hazitaki. Ameamua kuwa mkweli na sio kuwa mnafiki. Atawezaje kuzungumza lugha tofauti na iliyopo kwenye jamii? Nimempongeza sana mtangazaji huyo, kwa uthubutu wa hali ya juu. Ifahamike huyu pia aliwahi kuonyesha msimamo wa ukweli wakati wa Magufuli hadi kituo hicho kufungiwa. Watangazaji wengi wakionyesha kusimamia ukweli hata serekali itajitathimini.
Alionyesha msimamo kwenyè jambo gani wakati wa JPM?
 
Mzima sema nina hasira na mama yenu
Mimi mpaka naogopa kuna group la wanazuoni tulisoma woteeeeeee Kuna waandishi wa vitabu na wachambuzii mbali mbali watu wanapiga spana balaa

Ngoja ni nukuu quote ya mmoja kuhusu Leo waziri mkuu mwigulu kasema kaelekeza kabisa la GWAJIMA lifunguliwe...

Jamaa kajibu hiviii

"""Asiende Madhabahuni unless Mwenye Mamlaka hii katoka Madarakani, au Kafa au Kapinduliwa.

NI NGUMU KUELEWA ILA MTAELEWA BAADAE.

Au afanye alichokifanya *Katibu Mkuu Mstaafu, Bashiru Ally anayesubiri kupelekwa Ubalizini haijatajwa Bado ila uteuzi wake tayari
nikimaanisha Aungane nao. """
 
Na kadri wanavyohaha ndivyo wanaharibu wananchi wana hasira nyie kiufupi hatuwataki saiv wanachofanya ni kejeli tu
 
Kapotea sana nimekumbuka mambo yetu ya KUNYWA POMBE na mivinyo mbali mbali..

Nakusalimia pia ephen_ Asante sanaaaaaa kwa spana zako kwa Lucas mwashambwa ulinikosha sana sanaa agiza BRUTAL weka lipa namba ntalipia 😊
Nafsi inaniambia yupo salama japokuwa anaweza kuwa ameamua kupumzika hapa jamvini yupo anatafakari mambo yanayoendelea hapa nchini labda

Ila namuombea awe salama salmin
 
Sio KAWAIDA kabisa UNAJUA SISI WENGINE TUMEKUA JF MONGER'S

MIMI KUNA MUDA WIFE ALIKUA ANACHUKIA KISA MIMI KUWA BUSY JF kuliko kupiga story na YEYE..

Kwa Sasa Huwa anaelewa kua napenda sana kusoma news mbali mbali hapa jamvini
 
Wakuu,

Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?"

Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za kutishatisha, kuwasaliti Watanzania, bwana hizo salamu hazimuhusu, na waache unafiki.

Anasema kama isingekuwa habari hiyo isingesababisha chombo chao kifungiwe angeifanya kazi bila unafiki! Yaani angekuwa zake bize na picha za satelaiti, naye angeenda kuwahoji serikali, wakae kimya wawe kama Larry😂😂

Kipande hicho cha mazungumzo yao kimeondolewa kwenye kurasa za Clouds, hawataki shida jamani, wasije kupigwa pini bure!

Kwakifupi ni kuwa hata waandishi wakati huu

Jamaa Amenyooka
 
Nimjuavyo mwenyewe si matarajio yangu awe kimya kwa huu ukiritimba tunaoupitia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom