PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

PostGE2025 Mtangazaji Clouds TV: Pongezi za Msigwa kwa Waandishi hazinihusu, tuache unafiki!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?"

Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za kutishatisha, kuwasaliti Watanzania, bwana hizo salamu hazimuhusu, na waache unafiki.

Anasema kama isingekuwa habari hiyo isingesababisha chombo chao kifungiwe angeifanya kazi bila unafiki! Yaani angekuwa zake bize na picha za satelaiti, naye angeenda kuwahoji serikali, wakae kimya wawe kama Larry😂😂

Kipande hicho cha mazungumzo yao kimeondolewa kwenye kurasa za Clouds, hawataki shida jamani, wasije kupigwa pini bure!

Kwakifupi ni kuwa hata waandishi wakati huu

Kweli kabisa, mtu aliyepoteza mtu wake wa karibu kwenye maandamano akikubali pongezi za serikali ni unafiki mkubwa
Nimemsikiliza asubuhi, kasema kabisa yeye kama yeye kwenye sifa hizo za serekali hazitaki. Ameamua kuwa mkweli na sio kuwa mnafiki. Atawezaje kuzungumza lugha tofauti na iliyopo kwenye jamii? Nimempongeza sana mtangazaji huyo, kwa uthubutu wa hali ya juu. Ifahamike huyu pia aliwahi kuonyesha msimamo wa ukweli wakati wa Magufuli hadi kituo hicho kufungiwa. Watangazaji wengi wakionyesha kusimamia ukweli hata serekali itajitathimini.
 
Wakuu,

Wakiwa kwenye kipindi watangazaji wa Clouds, wameulizana swahili hili: "Sifa mlizopewa jana na Msemaji Mkuu wa Serikali mpaka kufikia kuundiwa mfuko maalum (wa wananhabari) mnadhani sifa hizo mnastahili?"

Mtangazaji Sam Sasali kajibu hizo pongezi kwaajili ya kutopost picha za kutishatisha, kuwasaliti Watanzania, bwana hizo salamu hazimuhusu, na waache unafiki.

Anasema kama isingekuwa habari hiyo isingesababisha chombo chao kifunguwe angeifanya kazi bila unafiki!

Kipande hicho cha mazungumzo yao kimeondolewa kwenye kurasa za Clouds, hawataki shida jamani, wasije kupigwa pini bure!

Kwakifupi ni kuwa hata waandishi wakati huu

View attachment 3506820

Ujue hata kama nyumba yenu ni ya chawa wa CCM, lakini mkishauliwa ndugu yenu kazima mbadilike.

CCM imejitengenezea upinzani mkubwa.

Clouds FM radio ya Jiseph Kusaga ni machawq wa CCM.

Mpaka ukisikia machawa wa CCM wanasema hivi ujue wanaugulia kuuawa mwenzao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom