kibogo
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 9,739
- 4,746
Chadema ukitaka kosana nao wambie watubu dhambi na wakili ukweli hapo ugomvi wake ni balaa.
View attachment 118549
Chadema ukitaka kosana nao wambie watubu dhambi na wakili ukweli hapo ugomvi wake ni balaa.
Zitto ni nani wako? Mbona unamtaja taja?Zitto sasa yupo Ufaransa ,wakati mbowe yupo dar,wakati mbowe anarusha ngumi kumpiga Mwigamba, Zitto anashughulika na mambo ya kimataifa. Zitto ni msomi anaejua thamani ya elimu yake. Na pamoja na majukumu yote hayo utaambiwa Zitto kasoma vitabu kadhaa ili kujiongezea maarifa, wakati mbowe kaishia kusoma gazeti la Tanzania daima na mawio. Huwezi linganisha akili ndogo iliyoambulia zero na akili kubwa ilipata div one kwa ngazi zote.
Katiba gani inayoongozwa na misingi ya kidemokrasia inampa Mbowe nguvu na mamlaka ya kuwa mwenyekiti mwaka wa 12 huu?
Je katiba ya namna hii inafaa katika nchi ya kidemokrasia?
Ni chama gani cha siasa duniani kinachofuata misingi ya demokrasia hakina ukomo wa madaraka?
Mwenyekiti wa CHADEMA hatokani na matamanio na mipango ya Lumumba
CHADEMA kinachagua viongozi kwa mujibu wa katiba.
Kama kuna viongozi wanaojipanga katika harakati za kutawala nchi miaka ijayo basi mbunge wa kigoma kaskazini mh Zitto Zuberi Kabwe ni namba moja.
Kwanza alianza kwa kuweka mikakati ya kuwa mwenyekiti wa chama kwa kuandaa kambi kabambe ya akina Mtela, Shonza, Msafiri Mtemelo na wengineo wengi.
Sasa nimeshikwa na butwaa kuona amethubutu hadi kumshika mwenyekiti wa CHADEMA Arusha Mwigamba yaan mahali ambapo chadema wanajivunia zitto amepachika mtawala, sikwambii mikoa iliyopo ukanda wake kama tabora, shinyanga. Na kama amefaulu kuweka kiongozi arusha, inawezekana vipi kwa Mbowe kuwa na viongozi katika mikoa mingine?
Minadhani umefika wakati wana chadema kuachana na kupambana na zitto na badala yake kuweka nguvu kubwa katika kukijenga na kukiimarisha chama kwa kuruhusu demokrasia kutawala ktk uendeshaji wa chama ili kufikia malengo ambayo tumejiwekea.
Hivyo hakuna haja ya kufukuza kila mtu anayejaribu kukikosoa uendeshaji wa chama. Jk kama angewatimua akina Sitta,januari,mwakyembe ccm ingekufa mapema lakini alitumia busara za kuwapa nafasi za kiutendaji ili waweze kufanya marekebisho mahali ambapo wengine walijikwaa.
Wito wangu kwa Mbowe na Dr Slaa, mmefanya kazi kubwa ya kukijenga na kukiimarisha chama sasa tunawaomba umefika mda kwa wengine kushika madaraka na kukiongoza chama, mbona Mzee Mtei na Bob Makani walishika uongozi kwa vipindi vya miaka mitano tu vipi wewe?
Nashukuru sana!
Una uhakika na ulichoandika?Acha uongo.Uchaguzi ulifanyika kwa mara ya Mwisho Mwaka 2009.
Yani nimeamua tu nisome mwigamba move na kucheka tu yani kila nikitaka kuchangia nakuta vichwa wameshasema kila kitu du kweli buriani cdm.
chadema inawaumiza sana mutatunga kila uongo lakini wananchi wanawapunch za uso tuu ha ha we sema kaa miaka 20 tangu kuanzishwa kwake basiKatiba gani inayoongozwa na misingi ya kidemokrasia inampa Mbowe nguvu na mamlaka ya kuwa mwenyekiti mwaka wa 12 huu?
Je katiba ya namna hii inafaa katika nchi ya kidemokrasia?
Ni chama gani cha siasa duniani kinachofuata misingi ya demokrasia hakina ukomo wa madaraka?
chadema ni mafisi ya madaraka na mali yaliyojikusanya kwenye genge flani ivi yakajivika ngozi ya kondoo
Ni heri Wassira (Steven) awe mwenyekiti CHADEMA kuliko Zitto Kabwe kuwa mwenyekiti CHADEMA.
Chadema ukitaka kosana nao wambie watubu dhambi na wakili ukweli hapo ugomvi wake ni balaa.
Una uhakika na ulichoandika?Acha uongo.Uchaguzi ulifanyika kwa mara ya Mwisho Mwaka 2009.