TOWNSEND
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 2,598
- 460
Zitto sasa yupo Ufaransa ,wakati mbowe yupo dar,wakati mbowe anarusha ngumi kumpiga mwigamba,zitto anashughulika na mambo ya kimataifa.zitto ni msomi anaejua thamani ya elimu yake.na pamoja na majukumu yote hayo utaambiwa zitto kasoma vitabu kadhaa ili kujiongezea maarifa,wakati mbowe kaishia kusoma gazeti la Tanzania daima na mawio. huwezi linganisha akili ndogo iliyoambulia zero na akili kubwa ilipata div one kwa ngazi zote.
hio kazi kapewa na nani ataiwezaje wakati inahitaji sheria...huwezi kwenda bank nbc ukaomba account balance ya mtu mwingine labda tu uqe umepewa kibalu na mahakama baada ya kesi...
jamaa kaenda kuhamisha pesa zake.
halafu yaani uwezo alionao mbowe zito yupi kilomita elfu kumi nyuma ya mbowe kimaisha...mambo ya shule na maisha ni tofauti kabisaaaaaa