Mtandao wa Zitto Kabwe ni mkubwa

Mtandao wa Zitto Kabwe ni mkubwa

Status
Not open for further replies.
Zitto ndio habari ya mjini,yaani nipo hapa moro kila kijiwe watu wanamjadili zitto na namna anavyoweza kuwa kete pekee ya kuipeleka chadema mbele.

Si msubiri uchaguzi ninyi wapambe? Demokrasia ni kuchagua moja katika nyingi zinazoshindana.Acheni kutumika.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom