Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,243
- 5,140
Kuna figusu imefanywa
Kuna figusu imefanywa
ExactlyPolepole effect
Hii brave ni server auChrome jau sana , mi niko brave
brave ni browser mkuu,Hii brave ni server au
Sawabrave ni browser mkuu,
KIkubwa washa vpnSawa
Sawa itabid ni downloadKIkubwa washa vpn
yeye hanaga malalamiko kwa airtel ni flowing tuKwenye ishu ya cap labda kama mchizi hana matumizi yanayo exceed 500GB kwa mwezi
Muulize akupe experience ya juzi kuanzia mida ya saa 3 hadi saa 7 mchana kama hatakuwa na machache ya kusema.yeye hanaga malalamiko kwa airtel ni flowing tu
- Hili walitolea taarifa, na waliomba radhi kwa shida ya kiufundi waliyokuwa nayo. Nilipokea SMS zaidi mbili wakielezea kuwa sasa huduma iko sawa.Muulize akupe experience ya juzi kuanzia mida ya saa 3 hadi saa 7 mchana kama hatakuwa na machache ya kusema.
hatari sanaMuulize akupe experience ya juzi kuanzia mida ya saa 3 hadi saa 7 mchana kama hatakuwa na machache ya kusema.
Nowadays Airtel wamekuwa miyeyusho sana kwenye speed tofauti na kipindi cha nyuma. Kipindi cha nyuma hata walipokuwa wanafanya throttling bado uliweza ku browse bila shida. Ila throttling, ya sasa hufanyi kitu yani
Hint:Nowadays Airtel wamekuwa miyeyusho sana kwenye speed tofauti na kipindi cha nyuma.
Walivyo fungia X (Twitter) Jerry alikuja na sababu za kuwa inakiuka maadili na kukiuka maadili yasiyofaa kwa taifa.. je, Facebook + YouTube nazo zimesambaza maudhui gani yasiyofaa? Au Polepole ni maudhui
Sasa hizo sms za kuomba radhi kama umekuwa ukifuatilia zimekuwa zikitumwa zaidi ya siku 2 mfululizo.- Hili walitolea taarifa, na waliomba radhi kwa shida ya kiufundi waliyokuwa nayo. Nilipokea SMS zaidi mbili wakielezea kuwa sasa huduma iko sawa.