Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 50,276
- 123,717
- Thread starter
- #41
Ishu sio network band. Ishu ni speed kuwa ya kupwa na kujaaHint:
- Hakikisha umeondoa default settings, ambapo device inakuwa ina_switch kwenda kwenye network yenye signal strength kubwa wakati speed yake ni ndogo.
View attachment 3409793
- Jaribu hiyo option.
Mfano saizi ndio nimefanikiwa kupata speed ya 20Mbps. Lakini tangu asubuhi ilikuwa inacheza 3Mbps