mix by yas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗬𝗮𝘀 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘀𝗶𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗔𝗽𝗽 𝗵𝗶𝗶

    Jana mtandao wa Yas iliweza kuzindua app yake yenye mabadiliko makubwa sana ndani yake hii ni ya kikubwa zaidi kwa mwaka 2026. Ni app inayorahisisha Matumizi ya simu kidigitali kwa urahisi kwa kufanya mambo mengi ndani ya muda mfupi kama vile; ⚙️ Uwezo wa kununua Bando kwa haraka zaidi hata...
  2. yello masai

    JamiiForums Tanzania Jinsi Mixx by Yas (Tigo Pesa) walivyonilaza stendi ya basi

    Jana baada ya kupatwa na safari ya ghafla kuelekea mkoani, nikafika stendi wakati hela yangu ipo kwenye simu. Nikaenda kutoa hela kwa bahati mbaya mawakala hawakuwa na fedha taslimu, nikaingia duka moja nikakuta ana Azam pesa. Nikahamisha hela yangu kutoka Yas / Tigo kwenda Azam. La haula...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pes Mix by YAS

    Imeshangasha Pesa imeweza kuhamishwa kutola kwenye namba yangu ya YAS bila mimi kujua au kuona meseji. Imenishangaza kwasababu nimeigundua baada ya kuangalia statement kwenye Yas app na kuona nimetuma hela mara tatu kiasi cha laki 3 kwa watu nisiyowafahamu. Hakuna msaada kutoka Yas wanasema...
  4. Mlupembe

    JamiiForums Tanzania Mix by Yas wazembe ni wengi

    Imekuwa ni kawaida ya hawa My x by Yas customer service kuwa wazimbe na wasiofatilia shida za wateja wao . Nimefanya malipo kwa njia ya bank post paid lakini mpaka leo lain yang haifanyi kazi , na kila ukipiga wanajibu subiri 24hrs Kampuni ina shida hii
  5. N

    JamiiForums Tanzania Mixx by Yas yapewa Heshima na Rais Mwinyi kwa Mchango wake katika Mradi wa Makazi Zanzibar

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akikabidhi cheti cha shukrani kwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Mixx by Yas, Bi. Angelica Pesha, kutambua mchango wa Kampuni ya Mawasiliano ya Yas katika kushirikiana na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC). Hafla hiyo ilifanyika...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hawa Mix by Yas wajitathimini wanakwama sana

    Mlio karibu nao muwape taarifa wanafeli sana . Mtu unahela kwenye simu ila unakosa kulipia dili au lala njaa kisa mtandao wao . Soma pia Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS...
  7. Worldboss

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya YAS ni failure katika huduma zao hasa Mix by YAS

    Habari Nimetumia mtandao huu takribani miaka 15 na hata baada ya kubadilishwa jina na umiliki kutoka tiGO kuwa YAS bado nilibaki kuwa mteja wao. Kwa muda mchache niliotumia mtandao huu nimetokea kuchukia sana huduma zao hasa huduma yao ya Mix by YAS, hii imetokea baada ya uvumilivu wa muda...
Back
Top Bottom