yas mix

Get Yer Ya-Ya's Out!: The Rolling Stones in Concert is the second live album by the Rolling Stones, released on 4 September 1970 on Decca Records in the UK and on London Records in the United States. It was recorded in New York City and Baltimore in November 1969 prior to the release of Let It Bleed. It is the first live album to reach number 1 in the UK. It was reported to have been issued in response to the well-known bootleg Live'r Than You'll Ever Be. This was also the band's final release under the Decca record label. Subsequent releases were made under the band's own label Rolling Stones Records.

View More On Wikipedia.org
  1. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝘁𝗮𝗻𝗱𝗮𝗼 𝘄𝗮 𝗬𝗮𝘀 𝗸𝗶𝗯𝗼𝗸𝗼 𝘀𝗶𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗔𝗽𝗽 𝗵𝗶𝗶

    Jana mtandao wa Yas iliweza kuzindua app yake yenye mabadiliko makubwa sana ndani yake hii ni ya kikubwa zaidi kwa mwaka 2026. Ni app inayorahisisha Matumizi ya simu kidigitali kwa urahisi kwa kufanya mambo mengi ndani ya muda mfupi kama vile; ⚙️ Uwezo wa kununua Bando kwa haraka zaidi hata...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya kila hatua mixx yazinduliwa Dodoma, yalenga wakazi wa kanda ya kati

    Dodoma, 20 Agosti 2025. Wiki moja baada ya uzinduzi wa kitaifa jijini Dar es Salaam, kampuni ya huduma za kifedha kwa njia ya simu, Mixx, imeendelea na mpango wake wa kusogeza karibu huduma za kifedha za kidigitali kwa kuzindua kampeni ya Kila Hatua Mixx jijini Dodoma. Hatua hii inalenga...
  3. King Loto

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa milioni 5 naweza fungua biashara ya miamala na wakala bank

    Wakuu nina milioni 5 hapa kama mtaji mbali na pesa ya kulipa kodi ya frem na tozo nyingine. Kodi ya fremu nategemea kuanza na shilingi laki 2 mpaka 250k Location popote penye wingi wa watu. Tupeane ABCD Kwa wajuzi na walio fanikiwa kwenye hii biashara. Pia vipi mwelekeo wa hii biashara ya...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Hii namba15305 inatuma sms kupitia tigo hadi kero

    Nimejaribu kuwaandikia sms ONDOA lakini wananijibu bado hujajiunga na ZALI na maelezo mengine ya kitapeli. Nifanye nini kukomesha huu utapeli ukizingatia kila unapowatumia sms wanakata kwenye salio la simu. Tafadhali ninyi watu wa yas tuondoleeni mambo haya ya kitapeli Sent from my Infinix...
Back
Top Bottom