Mtandao wa ngono!.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtandao wa ngono!..

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Avatar, Mar 19, 2011.

 1. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Kijana wa Kihaya aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo: Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI! Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa. Kijana: Kwa nini mama? Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata! Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu. Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Du...this should not be taken as a joke, but with due regard!!
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Kwanini mhaya?
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Yes sir!..
   
 5. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Just a tribe... Kuna ubaya kwani!?..
   
 6. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  It s a reality that sounds like a joke.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  atue kia then kwa babu kabla ya kwenda kyaka
   
 8. j

  jitu la kale Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  una ujasiri na akili kama za BATA za kujialishia wasiwasi
   
 9. SHINYAKA

  SHINYAKA Member

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 25
  kujiharishia and not kujialishia!!
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  cheni ndefu sio mchezo
   
 11. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  ndio maana kwa babu watu hawaishi
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  walijulikana kwa kupenda saanaa ka mchezo ka wakubwa
   
 13. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  lord have mercy
   
 14. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #14
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,699
  Likes Received: 416
  Trophy Points: 180
  Hahahahahaha hii ni joke tu mzee. Ukimwi noma
   
 15. z

  zayat JF-Expert Member

  #15
  Mar 21, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni familia poa hawajui kusema no
   
 16. mwanaNyamilele

  mwanaNyamilele Member

  #16
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni joke hiyo lakini ndivyo ilivyo katika maisha yetu watu wote hao wakahapo pamoja hayo utokea hata kama si chen:ballchain: yote hiyo ila Baba na mtoto wake wa kiume wakiwa na Housegirl wanachangia, Baba, mkewe akiwa na mdogo wake baba anakula wote n.k. hayo yamo tuwe makini sote tuwapo na familia hizo wengi wanaangamia kwa kitu cha kati kitamu ila ukila vya pembeni vichungu aaah hupo mpaka mkombozi arudi atakukuta!
   
 17. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #17
  Mar 21, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Tuambizane hapo kwenye red mkuu....hivyo ndivyo vinavyotakiwa

   
 18. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #18
  Mar 22, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata!
  Teh teh teh!! Sio la kucheka!!. Nilichogundua hapa wahusika wote wamepeana mmoja moja lakini masiki huyu bini¡ti yeye ndiye anabeba kijiji kizima. Humtendei haki.
   
 19. nyambari

  nyambari JF-Expert Member

  #19
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 325
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 45
  kaka mbona wahaya?
   
 20. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #20
  Mar 22, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mtu hawezi kuunda kitu kipya. Kama umesema itakuwa uko miongoni mwao au umeambiwa!
   
Loading...