Mtandao wa ngono!..

Kijana wa Kihaya aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo: Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI! Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa. Kijana: Kwa nini mama? Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata! Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu. Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI!

Mtandao wa ngono huo
 
Kijana wa KICHAGA aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo: Kijana: Mama, nina virusi vya UKIMWI! Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa. Kijana: Kwa nini mama? Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata! Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu. Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI!
Hapo kweli
 
mara nyingi kwa uvivu tunatolea mfano wazaramu, kwa ubaghili na mambo ya pesa tunawasukumia wachagga, masuali ya kujitoa muhanga tunawasukumia wahehe, masuali ya ngono wahaya, mambo ya wachawi tunawasukumia wale wa sumbawanga na kule bagamoyo kwa hio hilo kawaida Tz
 
Utadhani utani vile, hakuna noma tutasahau na maisha yataendelea
 
Back
Top Bottom