Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,058
NetFlix ni mtandao wa ku stream show za television kama vile documentary na series
Netflix waliweka lugha ya Kiswahili kama moja ya lugha ambazo zipo kwenye subtitle ili mtazamaji mswahili asiyejua lugha husika basi anaweka hizo subtitle
Ila Kiswahili chenyewe ni kituko, maana kina makosa mengi, ndipo jirani zetu hapo wakawatolea uvivu Netflix
Hii ni tafsiri ya "Jesse, what the https://jamii.app/JFUserGuide is wrong with you? Jess please. Stop Jess
Na hii ni tafsiri ya " Dansom, is this rumour about you and Kim Kardashian true?"
Iliyonichekesha zaidi ni hii hapa kwenye series yangu pendwa ya Breaking Bad
"Your patner was late and high"
Ikatafsiriwa "Mpenzi wako alikuwa marehemu na alikuwa mkuu"