Mtandao wa Netflix waanzisha subtitle za Kiswahili, Wakenya wauponda kwa Kiswahili kibovu

Watanzania wengi ni kama hawajui kinachoendelea Duniani, sijui hii ni Nyerere effect ama ni nini
Hatujui kingereza, tusubiri paka BBC swahili watutafsirie... Ila kama kuna udaku insta wa klyn na mengi, diamond, zari, Wema, gwajima hata hatuna time na hayo mambo ya wazungu uko..
 
Dah huyo si Nyerere ni sisi tu dunia tuliojiweka ni tofauti mbona kuna watanzania wanajua Zari anakula nini leo ila kwenye vitu vya msingi ni zero. Kiukweli wakenya wanajitahidi kujihusisha na kujitangaza katika mambo ya msingi kimataifa ndio maana ukienda kwenye sites nyingi za kimataifa kwenye mambo yanayohusu EA wakenya ndo wachangiaji wakuu hata angalia organisation nyingi zikitaka kifungua office EA nyingi huenda Nairobi, hawa jamaa wanajitahidi kujitangaza na kujihusisha na mambo ya msingi. Ukweli ndo huo.
Sasa huyo Zari mwenyewe si anajadiliwa tu sababu ya uhusiano wake na Mtanzania?

Kujadili vitu cheap linatokana na ukosefu wa elimu.
Sasa huu msingi mbovu wa elimu kuwa mbovu ni nani alaumiwe kama sio baba wa taifa hili?

Ujue kabla ya hizi shule za kata zilizochipua miaka ya 2007, zaidi ya 90% ya vijana wa kitanzania walikuwa wanaishia shule ya msingi ambapo hajui hata English, hivyo hawawezi kujadili lolote la maana la nje ya Tanzania, sababu ya lugha, labda ushabiki wa mpira na udaku udaku tu sababu ni burudani

Kenya walikuwa wakiishia darasa la 8 ambayo ina content nyingi kuliko la 7, na wanatumia lugha ya Kiingereza ambayo inakusaidia kujua mengi Duniani hata baada ya kuondoka shule, kupitia mitandao, vyombo vya habari, na makala
 
Si lazima muangalie movie hizo, kuna movie za akina madebe lidai zina maudhui na story taaamu, kwann musiangalie hizo?
 
Sasa huyo Zari mwenyewe si anajadiliwa tu sababu ya uhusiano wake na Mtanzania?

Kujadili vitu cheap linatokana na ukosefu wa elimu.
Sasa huu msingi mbovu wa elimu kuwa mbovu ni nani alaumiwe kama sio baba wa taifa hili?

Ujue kabla ya hizi shule za kata zilizochipua miaka ya 2007, zaidi ya 90% ya vijana wa kitanzania walikuwa wanaishia shule ya msingi ambapo hajui hata English, hivyo hawawezi kujadili lolote la maana la nje ya Tanzania, sababu ya lugha, labda ushabiki wa mpira na udaku udaku tu sababu ni burudani

Kenya walikuwa wakiishia darasa la 8 ambayo ina content nyingi kuliko la 7, na wanatumia lugha ya Kiingereza ambayo inakusaidia kujua mengi Duniani hata baada ya kuondoka shule, kupitia mitandao, vyombo vya habari, na makala
Sawa ila mimi hapo sioni umuhimu wa kumlaumu mtu maana Tz ya leo imejaa wasomi kila kona ila still majadiliano yao ni yale yale.
 
Back
Top Bottom