Mtandao upi napata Unlimited Data kwa malipo ya mwezi

Mtandao Mobile ambao unaweza kutembea nao ni vodacom supakasi, bili ni 120,000 kila mwezi, speed ni nzuri tu hasa kama unatumia peke yako ama mpo wawili, zaidi ya hapo itabidi ununue vifurushi vya bei zaidi ili speed isiwe tatizo hata mkitumia wengi.

Mitandao fixed kwa sehemu moja iwe ni ofisi ama nyumbani ni kutumia waya,

a.Ttcl wana mistimu yenye nyaya nyembaba za simu za mezani, hizi nyaya pia zinabeba adsl internet unayoweza kufungiwa bila kuwa na simu ya mezani na gharama yake inaanzia elf 25 kwa mwezi, ni teknolojia ya zamani hivyo speed ni ndogo ila ni fair kwa bei tajwa

b. Tttcl pia wamesambaza fibre sehemu kibao nchini, ni nyaya tofauti na zile nyembamba za simu ya mezani, hizi huwa ni ni nene kidogo, Ka fibre ndio teknolojia yenye speed kubwa kuzidi hio adsl, gharama zao zinaanzia 55,000 kwa speed yake inayolingana kama ya vodacom supakasi niliyoitaja mwanzo.

c. Satelite internet hii ni kama kingamuzi cha azam au dstv utaipata hata uwe porini, unafungiwa dish linanasa mawimbi, Kuna hawa wanajiita konekt wana mawakala mikoa mingi, vifurushi vyao vinaanzia elf 60 kwa mwezi, gharama za vifaa na kufungiwa dishi huwa ni kama laki 4 na nusu.

Tatizo lilipo kwa ttcl ni mpaka uwakomalie kweli kweli ndio waje kufanya kazi na hapo uwapooze pia, ukiwa na nia ya kuwekewa waya tafuta fundi wa ttcl achana na wale customer care utajazishwa mafomu na kila ukienda kufatilia ni miyeyusho tu.
 
Hao konekt huduma zao mbona zipo baadhi ya maeneo tu
 
Sawa sawa mimi nip huku rufiji..
 
Hii satellite ni company gani wanafunga
 
Habari wanandugu Natumaini ni wazima
Naomba Nsaada wa Kusaidiwa namna gani naweza kupata huduma ya kufungua internet cafe na shida yangu kubwa ni upatikanaji wa data plan mzur yani mtandao upi unafaa pia talatibu za kuunganishwa zipoje..
KONNECT📡 MTANDAO WA INTERNET📶 WENYE KASI ZAIDI🛩️ TANZANIA

KONNECT🛰️ ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet📡 kwenye Ofisi💼, Nyumbani🛖, Hospital🏥, Shule🎒, Vyuo🎓, Hardware 👷⛏️, Showroom 🛋️, Supermaket 🛍️ , Viwandani ⚙️, Garage🛠️, Stationary📌📎, Pharmacy 💊Hotels 🍽️ n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT? 🛰️🛰️
Tunajua umechoka kusubiri mtandao 📶 wako ili kuweza ku download ⤵️au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite 🛰️ wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao 📶 yani INTERNET📡 kwa miaka 40 Kupitia, satelite 🛰️yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite 🛰️ ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena 📡 yako kwenda kwenye satelite 🛰️ zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet📶 yenye speed 🛩️ kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa ⛈️🌦️

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed 🛩️ hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania 🇹🇿 kwa kutumia huduma zetu leo🛰️
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasi📞Kwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 📱0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.
 
KONNECT MTANDAO WA INTERNET WENYE KASI ZAIDI TANZANIA

KONNECT ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet kwenye Ofisi, Nyumbani🛖, Hospital, Shule, Vyuo, Hardware , Showroom , Supermaket , Viwandani , Garage, Stationary, Pharmacy Hotels n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT?
Tunajua umechoka kusubiri mtandao wako ili kuweza ku download au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao yani INTERNET kwa miaka 40 Kupitia, satelite yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena yako kwenda kwenye satelite zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet yenye speed kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania kwa kutumia huduma zetu leo

Wasiliana nasiKwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.View attachment 2569085View attachment 2569084
images%20(1).jpg
 
Zipo tz yote tena had vijijin ambapo akuna network
Nimewacheki leo ila wamenitajia gharama za vifaa ambazo ni 1.5M

Halafu package ya 60K kumbe unapewa kiasi fulani cha GB ambacho kina speed kubwa then ukikimaliza utaweza kutumia unlimited ila katika low speed
 
KONNECT MTANDAO WA INTERNET WENYE KASI ZAIDI TANZANIA

KONNECT ni mtandao wa internet unaotoa huduma ya internet kwenye Ofisi, Nyumbani🛖, Hospital, Shule, Vyuo, Hardware , Showroom , Supermaket , Viwandani , Garage, Stationary, Pharmacy Hotels n.k

KWA NINI UCHAGUE KONNECT?
Tunajua umechoka kusubiri mtandao wako ili kuweza ku download au kufungua taarifa.
Mtandao wa Satelite wa KONNECTsasa unapatikana nchini Tanzania. Ambapo tuna uzoefu wa kutoa huduma ya mtandao yani INTERNET kwa miaka 40 Kupitia, satelite yetu ya KONNECT. Ambayo ina kasi ya juu zaidi ya Internet hadi Mbps 100 per sec kwa watu bila kujali wanaishi wapi.

Huduma hii inapatikana kwa njia ya satelite ambayo inakuunganisha wewe kutoka kwenye antena yako kwenda kwenye satelite zetu moja kwa moja za eurosat ambayo inakupa wewe mteja internet yenye speed kubwa na yenye uwezo bila kikwazo chochote cha hali ya hewa

Pata internet isiyo na kikomo kwa kulipia mwezi na utumie kadri uwezavyo bila kujali umetumia matumizi ya ukubwa gani kipindi chote unacho peruzi kwa speed hadi mbps 100 kwa sec

Jiunge na wengine kote Tanzania kwa kutumia huduma zetu leo
Jiunge na data isiyo na kikomo popote Tanzania unganisha hadi vifaa 100

Bei zetu ni nafuuu mnooo ili kupata maelezo zaidi na kupata huduma hii
Wasiliana nasiKwa Simu 0763038490
MWANZA.
Au Kwa WhatsApp 0763038490
Timu yetu ya wataalamu wa mauzo iko tayari kukushauri na kukuunganisha.
Gharama za kuunganishwa zipoje
 
Back
Top Bottom