Mtandao gani wenye bundles za internet bora?

Mtandao gani wenye bundles za internet bora?

kama upo nje ya dar cheki na smart kwanza kama wapo eneo lako wana unlimited ya siku kwa 1000 na mwezi 20,000 na ni unlimited ya kweli haishuki speed,

kama upo dar angalia vifurushi vya usiku cheki mtandao utakaokupa speed nzuri usiku kati ya halotel na airtel, na kiasi fulani tigo.
-halotel utapata gb 18 usiku mmoja kwa shilingi 1500
-Airtel utapata gb 10 kwa shilingi 600
-tigo gb 4 kwa sh 1500 ila ni usiku miwili

tumia kwanza airtel na halotel halafu angalia unamaliza gb ngapi kama ni chini ya 4 kwa siku moja then 4g ya tigo gb4 zinaisha kwa siku.

pia airtel wana vocha za chuo ambazo hata kama mtu sio mwanachuo anaweza nunua utapata gb 1.2 kwa sh 600 tu nenda cbe zipo kibao.

halotel/voda/tigo unaweza pia kupata vifurushi vya chuo ila itabidi usajili line.

pia angalia tigo kwenye menu yao ya offer maalum kunakuwa na vifurushi vizuri sana kutegemea na eneo ulipo.
Chief hyo Offer ya Smart ya Unlimited bado ipo had Leo au washaiondoa!?
 
Nina saidia watu kupunguza na kubana matumizi na gharama za kupiga simu na gb nyingi za internet ili uwe unapata dakika nyingi na gb nyingi kwa hera kidogo pata

Kwa tsh 2000 unapata dakika 1500 za mtandao mmoja na dakika 300 za mitandao tote na sms bila kikomo gb1½ kwa wiki nzima facebook na whatsapp ni bure ukiwa na vifurushi hiki kama wewe unahitaji offer hizi nitafute nikuelekeze pia karibu ktk group langu la whatsapp namba zangu ni 0756695846 na 0716258599. Nb.. Huuu sio uongo ni ukweli kabisa mimi navitumia hivi vifurushi. .karibu na wewe.
ni Kwa mtandao gani hio huduma
 
usisahau kuangalia vifurushi maalum *149*03# kutegemea na mtu unaweza ukapata vifurushi vya maana.
Niliangalia huko. Tena nikushukuru maana hiyo niliitoa kwenye ile thread yako ya vifurushi. Hata hivyo vifurushi vilivyo huko havina afadhali kwangu. Line yangu ni mpya, labda kadiri ya matumizi watanifikiria.
 
Chief iyo halotel mbona mm Gb 10 sio 18 na Un Airtel zisipati nilisikia wame stop na yule jamaa simpati wa kununua Un Airtel money
 
Back
Top Bottom