Mtandao gani wenye bundles za internet bora?

Tomahawk

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
234
218
Naomba msaada wa kufahamishwa mtandao upi wa simu una bundles nzuri na za bei nafuu?

Mimi uwa napenda sana kudownload movies, series nk, sasa tangu voda waondoe kile kifushi cha masaa 24 kwa sh 1000 bila kikomo kwa sasa nimekwama sijui nitumie mtandao gani wa bundles zitakazonifaaa.

Msaada please.
 
Cheki Zantel
 
kuna bundle za airtel 1gb ni 1000 ndo nafuu kwa sasa. lkn kama wewe ni addict kuna njia za vichaka kwa 10000 unlimited per moon.
 
kama upo nje ya dar cheki na smart kwanza kama wapo eneo lako wana unlimited ya siku kwa 1000 na mwezi 20,000 na ni unlimited ya kweli haishuki speed,

kama upo dar angalia vifurushi vya usiku cheki mtandao utakaokupa speed nzuri usiku kati ya halotel na airtel, na kiasi fulani tigo.
-halotel utapata gb 18 usiku mmoja kwa shilingi 1500
-Airtel utapata gb 10 kwa shilingi 600
-tigo gb 4 kwa sh 1500 ila ni usiku miwili

tumia kwanza airtel na halotel halafu angalia unamaliza gb ngapi kama ni chini ya 4 kwa siku moja then 4g ya tigo gb4 zinaisha kwa siku.

pia airtel wana vocha za chuo ambazo hata kama mtu sio mwanachuo anaweza nunua utapata gb 1.2 kwa sh 600 tu nenda cbe zipo kibao.

halotel/voda/tigo unaweza pia kupata vifurushi vya chuo ila itabidi usajili line.

pia angalia tigo kwenye menu yao ya offer maalum kunakuwa na vifurushi vizuri sana kutegemea na eneo ulipo.
 
halotel ni kboko cku nyingne napiga mpk gb15 kwe kile kifurush cha usiku cha gb 18,nadownload series zangu naangalia mpk zkisha napakua tena..tgo waznguz tu
 
Naomba msaada wa kufahamishwa mtandao upi wa simu una bundles nzuri na za bei nafuu?

Mimi uwa napenda sana kudownload movies, series nk, sasa tangu voda waondoe kile kifushi cha masaa 24 kwa sh 1000 bila kikomo kwa sasa nimekwama sijui nitumie mtandao gani wa bundles zitakazonifaaa.

Msaada please.
Halotel poa sana
 
daah cjui sijachunguza sana maximum speed huwa ngapi c unajua mab ya utorrent nkishajaza mzgo napanda kitandan kulala,sema nafkri itakua ni kubwa maana kupiga gb zaid ya 10 kwa kuanzia mda ule mpk asubuh c mchezo
 
kama upo nje ya dar cheki na smart kwanza kama wapo eneo lako wana unlimited ya siku kwa 1000 na mwezi 20,000 na ni unlimited ya kweli haishuki speed,

kama upo dar angalia vifurushi vya usiku cheki mtandao utakaokupa speed nzuri usiku kati ya halotel na airtel, na kiasi fulani tigo.
-halotel utapata gb 18 usiku mmoja kwa shilingi 1500
-Airtel utapata gb 10 kwa shilingi 600
-tigo gb 4 kwa sh 1500 ila ni usiku miwili

tumia kwanza airtel na halotel halafu angalia unamaliza gb ngapi kama ni chini ya 4 kwa siku moja then 4g ya tigo gb4 zinaisha kwa siku.

pia airtel wana vocha za chuo ambazo hata kama mtu sio mwanachuo anaweza nunua utapata gb 1.2 kwa sh 600 tu nenda cbe zipo kibao.

halotel/voda/tigo unaweza pia kupata vifurushi vya chuo ila itabidi usajili line.

pia angalia tigo kwenye menu yao ya offer maalum kunakuwa na vifurushi vizuri sana kutegemea na eneo ulipo.
Kaka sorry lain zao zinapatikana huku mitaani kwetu au mpka ofisin kwao? Na vp kuhusu vocha?
 
vocha unaponunulia luku ndio utakapozipata, na line wanao freelancer wao ila wachache unaweza agizia dar pia ila kwanza hakikisha mtandao upo.

tafuta simu yenye 3g halafu nenda sehemu ya kusearch network then search utaona list ya mitandao ya 3g eneo lako
 
Tumia airtel. Nunua vocha za chuo (unaiwekea kokote) hakuna bundle nafuu zaidi ya hizo.
 
Back
Top Bottom