Mtanange; Lumia 950xl vs iphone 6s+ vs galaxy s7

Mtanange; Lumia 950xl vs iphone 6s+ vs galaxy s7

baki huko huko windows kwa nilivyo kusoma interest yako IPO huko.
 
Chief Mkwawa
Samahani Hebu Tufafanulie Kuhusu BB Na iPhone
Kwenye Upande Wa Vifurushi Maana Najua Huwa Hazikubali Kifurushi Cha 500 Huwa Zinakubali Kifurushi Cha Wiki Yaani Kuanzia 7000.
Watumiaji Pia Wanawezakuwa Msaada
 
hapana mkuu hadi kifurushi cha 250 inakubali iphones, na BB mpya za 2012 kupanda pia zinakubali vifurushi vya kawaida
 
mkuu nimetumia window lumia 540, ofcoz ni nzuri ila sijatumia ios, nataka simu ambayo not much popular afu hata nikiichoka naweza iuza bila hasara kubwa
Angalia Motorola moto x force..hizo zote zinakaa chini
 
Chief Mkwawa
Samahani Hebu Tufafanulie Kuhusu BB Na iPhone
Kwenye Upande Wa Vifurushi Maana Najua Huwa Hazikubali Kifurushi Cha 500 Huwa Zinakubali Kifurushi Cha Wiki Yaani Kuanzia 7000.
Watumiaji Pia Wanawezakuwa Msaada

Mkuu hii habari umetoa wapi? Mbona hadi kukopa nakopa sembuse kuunga bando la 500?
Nina simcard ya tigo (chuo) mara nyingi naunga bando la 500 ambalo linanipa (500MB)
62d02ad5da5b6bb14e4656b94a9239a2.jpg
 
Siku Za Nyumba Kwenye Vifurushi IlikuwA Shida
 
mkuu hizo simu zote zinatumia operating tofauti. hapo ni kati ya windows 10 mobile vs android vs ios. kama hujawahi tumia ios wala windows mobile nakushauri tu nenda android.

kuhusu hardware s7 ndio ina hardware kali zaidi hapo, ila lumia 950 nayo itakuwa na camera nzuri na iris scaner.
Chief-Mkwawa ebu naomba nisaidie,niko nje ya mada kidogo,nilikuwa natumia Tapatalk kwa ajili ya kuipata Jamiiforums kwenye window phone but now iligoma kufanya kazi nika uninstall. Na nilivyo itafuta kwenye store haupatikani tena,je application gani ninaweza kutumia nikapata jamiiforums.Simu yangu ni window 8.1
 
Sammy tumia mtalk
 
kweli mkuu, vipi kuhusu microsoft 950xl? kwani nayo huiwezi iona mjini hovyohovyo
I recommend iphone!!! Hii kitu mi napenda security yao...iko very strong...huwez chakachua kama samsung....ukieka password ya icloud mwizi akiiba atasota nayo kuitoa!!! Walioweza kutoa password ya iphone ni FBI tu!!
 
Ningekuwa wewe ningechagua iPhone 6S+. Kwa sababu zifuatazo:
1. Customization: Jinsi hardware na software zilivyokuwa customized kiasi kwamba hakuna lags zisizo na msingi. Iphone never stuck unless it is the hardware problem.
2. Battery life: Pamoja na kwamba iphones wana battery capacities ndogo ila ulaji wake unazidi hizo galaxies. Hii ni kutokana na jinsi simu imekuwa optimized. Hakuna apps zinazorun background.
3. App store: Huwezi kulinganisha app store na play store. Apps nyingi za apple unalipia ila ni za ukweli kuliko za play store iliyojaa malware.
4. Continuity: Unaweza kufanya kazi kwenye iphone yako na ukaamua kuiendeleza kupitia ipad au macbook kitu ambacho android wanakosa. Au mimi sikifahamu.
5. Reliability: Iphone ni the most reliable phone so far, ni nadra sana kukuta simu ya apple imekufakufa kama hizo takataka za android.
6. Updates: Device zote za apple zinapata updates siku moja kupitia OTA. Tofauti na android ambayo una update kwa mafungu.
7. Resale Value: Iphone zinauzika kwa bei ya juu hata kama umeitumia kwa miaka mitano. Tofauti na galaxy ambayo baada ya mwaka bei inaweza kushuka kwa almost 50%.

Pia, chagua simu kutokana na matumizi yako. Kama wewe unatumia simu kama toy basi nakushauri nunua hiyo Galaxy. Ila kama matumizi makubwa simu yako ni kwa ajili ya productivity basi chukua iphone then lumia.
 
Dah tuache kuifananusha iphone na vitu vya kijinga...mkuu iphone ni habari nyingine mkuu.
Tukiacha mambo mengine kama camera, ios, sijui uzuri na internal yake. Mi napenda security yake ukipoteza mkuu huna wasiwasi itapatikana tuu
 
mbona mi nikisearch tapatalk inakuja mtalk. Natumia microsoft lumia 650 sijui mwenzangu unatumia window phone ipi. Sammy
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom