Mtambo Mpya wa Ufuatiliaji Mawasiliano nchini (TTMS): Kwanini sasa? Nini kipya?

Bawacha bhana alipozindua ulianza kufanya kazi? Hata kusoma hiyo habari uwezi? Ulisikia alichosema Magufuli Jana? Hahahaha bawacha bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna shida Sana katika namna ya kufikiri na kuchambua mambo katika jamii yetu ya sasa, hakuna upekee bali kufuata mkumbo kwingi na kuongozwa na chuki na hisia hasi hata pasipostahili.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jifunze kusoma, kusikiliza na kuelewa kisha utoe hoja kwa staha ukijenga heshima yako na kizazi chako,ukurupukaji sio sifa stahiki kwako.
Rais Kikwete alizindua, maana yake mchakato wa kuufanya mtambo kufanya kazi haukukamilika bali ulikuwa unaendelea, na sasa Rais Magufuli amekabidhi mtambo uliotayari kufanya kazi....hujaona tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuzindua unasema maana yake nini?
 
Usijidharau kiasi hicho, soma vema jambo hili......
Watu wa upande mwingine wa siasa hupenda kuwaita wenzao jina la mnyama pori wa kule Masai mara na Serengeti ambae nyakati nyingi ameshindwa tumia ubongo wake kuchambua mambo...inaleta hisia kali yamkini....
Wewe u binadamu mwenye uwezo mkubwa wa kuchambua mambo kwa kina, katika makabidhiano haya Magufuli ametimiza wajibu wake kama ambavyo Kikwete alitimiza kwa kuzindua wakati wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
mze Baba inaonekana unalipwa hela nzuri kumtetea jeipiemu maana inaonekana huna kazi nyingine zaidi ya kushinda kwenye post hii kumdefend....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnajua mnafurahusha sana
Kiswahili si lugha nyepesi sana kwa watumiaji wa mara kwa mara wa lugha hii.
Lakini haimzuii mtumiaji kuwaza kwa kutumia lugha hii kisha inampa nafasi ya kufanya tafakari ya kina na inampa nguvu kujiona mjuzi sana wa lugha yenyewe.
Uzinduzi......kinachozinduliwa kiko tayari kwa matumizi au kiko kwenye hatua ya kukifanya kije kutumika?
Kikishafikisha hatua kinatengenezewa muda wa kukikabidhi kwa watumiaji na kitendo hubadilika...


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilichekaaa,pale aliposema kama changamoto zilizosalia hazita tatuliwa kwenye hii awamu basi hazita tatuliwa maishani,yaani milele.Yaani hakuna atakayeweza tena kuzitatuwa.Shughuli pevu.
 
Jifunze kusoma, kusikiliza na kuelewa kisha utoe hoja kwa staha ukijenga heshima yako na kizazi chako,ukurupukaji sio sifa stahiki kwako.
Rais Kikwete alizindua, maana yake mchakato wa kuufanya mtambo kufanya kazi haukukamilika bali ulikuwa unaendelea, na sasa Rais Magufuli amekabidhi mtambo uliotayari kufanya kazi....hujaona tofauti?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya, mfumo (mtambo) ushaanza kufanya kazi muda mrefu sana na ndomana ulisikia takwimu ya mapato yaliyopatikana kutokana na utendaji wake.
Hakuna jipya ila muendelezo wa Zinduzi zisizo na tija.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom