Mtalii na mwenye boti!!

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,944
12,576
Mtalii alimwuliza kijana mwenye boti,Do u know Biology, Psychology, Geography,
Geology and Criminology?Kijana mwenye boti akajibu NO.Mtalii akamwambia kijana,''What the hell u know on the face of this earth?U will die of illiteracy!'
Baada ya mda boti ikaanza kuzama,kijana akamwambia mtalii,''Do u know
Swimology and Escapology from Crocodilogy?'Mtalii akajibu NO,Kijana akajibu ''Well u will Drownology and Crocodilogy will eat your Assology and
u will Dieology because of your Badmouthology
 
Raimundo

JF-Expert Member
May 23, 2009
13,416
12,567
Napataga shida kweili kuelewa, hivi ni sisi JF tunatoa kwa Michuzi au Michuzi ndiye anayetoa hapa JF kwetu? Kwa maana naona kitu kwa michuzi hafu nakikuta copi pesti huku! Au nakiona huku afu nakikuta copi pesti kwa Michuzi.
 
mikatabafeki

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
12,777
4,625
Napataga shida kweili kuelewa, hivi ni sisi JF tunatoa kwa Michuzi au Michuzi ndiye anayetoa hapa JF kwetu? Kwa maana naona kitu kwa michuzi hafu nakikuta copi pesti huku! Au nakiona huku afu nakikuta copi pesti kwa Michuzi.
kwani umelazimishwa kusoma???ka ukikuta tena hapa huna haja ya kusoma tena by the sio kila mtu hutembelea michuzi
 
Mzee

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
13,550
5,687
Hii kitu naiona kama mara ya 3 hapa hapa JF. Kama vipi tuwe makini ili kuondoa duplication. Kamavipi wakali wa Artificial Inteligence wa design system ya kuondoa topic kama hizi.
 
ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
3,722
3,883
Kuna wana jamii wapya hawajaona hii kitu sidhani kama ni kosa kurudia,kama ulishaisoma iache soma zingine.
Pia tunawashukuru wanaotukopia kutoka blog zingine na kuweka hapa,wanatupunguzia kazi ya kupitia kila blog.

Hii kitu naiona kama mara ya 3 hapa hapa JF. Kama vipi tuwe makini ili kuondoa duplication. Kamavipi wakali wa Artificial Inteligence wa design system ya kuondoa topic kama hizi.
<br />
<br />
 
Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,483
1,359
Napataga shida kweili kuelewa, hivi ni sisi JF tunatoa kwa Michuzi au Michuzi ndiye anayetoa hapa JF kwetu? Kwa maana naona kitu kwa michuzi hafu nakikuta copi pesti huku! Au nakiona huku afu nakikuta copi pesti kwa Michuzi.
<br />
<br />
MKUU NIPATIE HIYO WEB YA MICHUZ NIWENAPITAPITA HUKO
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom