Mtakufa nyie, mie nitawazika

Mimi nmekunukuu mkuu, wala siwajui ndo maana nmeuliza...sina ubaya..πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜€ Mkuu me naona tubaki kwenye line ya mzee.

Kasema kwamba ukifungua kinywa chako na ukasema mzee anakichomi ujue ataanza kukuzika wewe kwanza, so zingatia kinywa chako.
 
Nami sipo tayari kufa nikiwa mdogo hivi,...so nafunga kinywa changu
 
πŸ˜€ Mkuu me naona tubaki kwenye line ya mzee.

Kasema kwamba ukifungua kinywa chako na ukasema mzee anakichomi ujue ataanza kukuzika wewe kwanza, so zingatia kinywa chako.
Mzee unajua impact ya maneno uliyoyaandika ?
Siamini kama yule rais anaweza ongea maneno kama haya.

Nyie media munapenda kuweka picha na kilisha watu maneno
 
Endelea kuto amini Mkuu.

Hakuna neno lililolishwa hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…