Mtakie kheri ya Christmas na Mwaka Mpya, member yeyote unayemkubali hapa

Tafuta uzi unaousema je ushoga umehalalishwa tanzania? Kuna mtu kakutaja kabisa kwamba wewe ni mtetezi wao na amekutag.
mbona sijapata notification jaman khaaaah.
Yaan nna hamu niuone huo, tena ntakiwasha had wachanganyikiwe.
Please nawee tafuta ukiupata nitag, serious yaan.
 
Tafuta uzi unaousema je ushoga umehalalishwa tanzania? Kuna mtu kakutaja kabisa kwamba wewe ni mtetezi wao na amekutag.
Nautafuta siuoni mbona jaman, sijui.umefutwa mweeeh.
Hebu nisaidie niuone bhana.
 
Back
Top Bottom