wewe na wenzako mupo kwenye kazi maalumu ya kumchafua zitto,mpango wenu upo mikononi na mutaumbuliwa muda si mrefu.
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Mtapata shida sana nyie, hao akina wenje,mnyika,nassari,msigwa, mbilinyi,Lissu, Slaa ni WACHAGA!???? siasa za hivyo hazina mashiko tena na zimeshachuja, na hakuna aliyekataa kama Zitto ni jembe
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
wewe ni nani hata utusemee sisi wanaMara?

ukiwa kama mpembuzi wa mambo ZITO sahvi inshabikiwa na wana CCM ambao si watu wema kwa CDM.kwanini media za CCM ziko kimya kwa hili?,JIULIZE CHUKUA HATUA THEN AKILI KICHWANI.
Hakuna masalia ya zitto hapa,lazima ukweli uwekwe wazi! Lengo la chadema si kuwakomboa watz wote bali kuikomboa kanda ya kaskazini na hilo liko wazi.Baada ya kuona hakuna uwezekano wa kupata madaraka yajuu serikalini kupitia ccm,wakaskazini na hasa wachaga wakaamua kuja na huu mkakati,wengine mob psychology na njaa zao tu zilizowasumbua kujiunga chadema.most of tanzanians are not focussed,they are ready even for matangopori!
Pilitoni kwani sisi tunakula hoja? Hata Hitler alikuwa anatoa hoja nzuri.Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Anaitwa Sangoma Zitto au Mzee wa Tunguliubaya wa zitto ni nini? Mbona hamko wazi? Au ndio bendera hufuata upepo nini.Tatizo nyie mnakaririshwa ndio maana hamna jipya zaidi ya matusi na upuuzi
Ndugu ninakuunga mkono kabisa.Zzk anaendesha siasa za msituni ambazo zimepitwa na wakati. Atoke hadharani aeleze kinachomtesa kuliko kuingia kwenye mitandao ya kijamii kwa majina lukuki mara tuntemeke, mara piriton! Jitokeze hadharani jitetee kama kweli ww ni jembe kama inavyodaiwa.
Acha kupotosha wewe Chadema hakuna makundi wala udini wala kuchafuana, Chadema ni chama makini kimejaa vijana wasomi...Cc to WABHEJASANA,