Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Mods kuweni makini na wajinga kama wanaoleta thread kama hizi zilizochajaa ukabila na uchokozi kuweni makini
 
Kwa nini unamuuliza hivyo mkuu??!!
humu ndani tunatkiwa tu discuss issues siyo watu lakini kwa muda sasa issue ni majina ya watu tu unakumbuka uchaguzi wa USA zilkuwa zina discusiwa issues uchumi, ajira uhamiaji etc
 
Cdm wachunge sana ccm wanambinu nyingi uckute ni ccm wana frem haya mambo nyie mna chechetuka Take care...!!!!
 
ZZK hawezi kuwa jembe wewe kwani Zitto ana kadi mbili? Jembe ni Babu si umeona ana kadi mbili na bado hatumwambi kitu? ss kwa Babu kama vile Kibwetere na Wafuasi wake.
Waasisi wa CHAUMA ni kafulila na mbunge mmoja wa chadema nani vile?
 
Cdm wachunge sana ccm wanambinu nyingi uckute ni ccm wana frem haya mambo nyie mna chechetuka Take care...!!!!

CCM inaingiaje hapa? Wafuasi wa Zito tunao mtaani. Wayaandikayo humu ndiyo wayasemayo na kuyatoa kwenye vyombo vya habari, kwa nini tuongope?
 

Acha ujinga pilton Hakuna mtu wa. Mara anayemfagilia Zito huo ni ujinga wako na ufinyu wa akili. Zito alikuwa zamani nowadays tunamjua alivyo kuanzia moyoni hadi kwa matendo ni mtu harari sana. Anafocus maslahi na uroho wa madaraka kwa haraka sana. HAFAI KABISA KISIFIWA HATA KIDOGO. NA WATU WA MARA HAWAANGALII UKABILA, UKANDA WALA NN HUO NI MTAZAMO WAKO TU.
 

Mkuu Mwita Maranya eti kule kwetu Mara kuna watu viazi hivi?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Mwita Maranya eti kule kwetu Mara kuna watu viazi hivi?......Maajabu ya dunia
 
Last edited by a moderator:

Kama ZZK ni jembe basi jembe hilo ni la mkono just sufficient for small household farming purposes wala sio jembe linaloweza kutuvusha kuelekea Tanzania tuitakayo inayohitaji mapinduzi makubwa katika sera na mifumo ya utekelezaji.

Tanzania tuipendayo inahitaji matrekta makubwa; maarufu kama massey ferguson na hao ni kama kina Dr. Slaa, Freeman, Lissu, Halima, Mnyika, Nassari, Godbless, Wenje na wengine kama hao na wala sio power tillers za Pinda kama Zitto, Nape na Shibuda

Jembe lako ZZK limepitwa na wakati, he is burnt out! sasa amekuwa "A jack of all trades but a master of nothing"; kazi kurukuia rukia hoja moja baada ya nyingine! mwache akadigite huyo.
 
Hakika nyie wachaga endeleeni kumchafua zzk lakini watanzania tuliowengi tunafahamu uwezo wake na Mungu ata muinua


Sasa mshaanza kusema na jf ni ya wachaga? Kweli CCM kazi sasa ni kuuandaa propaganda mbele kwa mbele.

Sasa kwa akili yako ya kawaida unaweza kweli kukubali kuwa Zitto ni prez material? Au mnaosema ni Jembe jipya mna manna gani ? Majembe ya ukweli yako nje ya nchi ya system CCM huwa huwa hata hawapendi kuyasikia unless wameisha yachakachua. Majembe ya ukweli kwa sasa ni Salim , Mahiga na Slaa period.
 
We mkulima wa kawaida elewa njia ya muongo siku zote ni fupi. Ukweli siyo watanzania wote,bali ni wewe mwenyewe,mke wako na watoto wako ndo' mnamkubali Zitto kwa sababu kumpigia kwenu debe ndo' kazi inayo waweka mjini. Poleni sana!!!!
By the way tumesha choshwa na majembe tunahitaji TRACTOR.
 
We mkulima wa kawaida elewa njia ya muongo siku zote ni fupi. Hakuna anaye mchafua Zitto, ZZK anajichafua mwenyewe. Sahihisha post yako isomeke kama ifuatavyo "mimi na familia yangu tunamkubali sana Zitto" usitujumuishe watanzania wote kwani tuna akili timamu. Nina mashaka kama kweli we ni mtanzania, weka wazi mkuu we ni mkulima wa kawaida au wa ki-china?
By ze way tumesha choshwa na majembe,tunahitaji TRACTOR.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…