Mtaka yote kwa pupa hukosa yote

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote

Dhaaa!! Jacq hapo atapga na magot
Maaana mwanaume kusamehe hlo
Kosa n kaz kweli.kweli

Ila. Clement kwa ule upole
Na anaonekana kumpenda
Sana jacq

Jacq akijitahid huu mtihan
Anaushinda
Ndio. Na akisamehewa hatorudia tena
 
Ee hiyo nayo pia ni sababu
Anajibebeshaje wanaume wawili halafu wewe umtetee!!?
Asee huyo hata ningekuwa namfaham tu ningempa vipande vyake live.
Ahahahaaa muone vile. Hajajibebisha kwa James. Sema wamekumbushia tu. Ndio maana mm urafiki na Ex siutaki kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ahahahaaa muone vile. Hajajibebisha kwa James. Sema wamekumbushia tu. Ndio maana mm urafiki na Ex siutaki kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa
Unahisi ukikaa jirani na ex-
Aaaaah..... Hili itabid tuliongelee mahala pano stahili.
Inaonekana hujiamin kwa ex....
Hahahaaa ntakutafutaaaa.
 
Hahahaaaa
Unahisi ukikaa jirani na ex-
Aaaaah..... Hili itabid tuliongelee mahala pano stahili.
Inaonekana hujiamin kwa ex....
Hahahaaa ntakutafutaaaa.
Ahahaaa sio kwamba sijiamini. Mnaweza angukia kny dhambi ya kukumbushia sasa km jacq n james. Bora kila m2 awe na 50 zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] twende tukaliongelee
 
Ahahaaa sio kwamba sijiamini. Mnaweza angukia kny dhambi ya kukumbushia sasa km jacq n james. Bora kila m2 awe na 50 zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] twende tukaliongelee
Ndio kuto jiamini huko, unahisi mtakumbushia
Ndio maana umemtetea Jacq

Kuna namna hapo. [emoji1]
 
....story ni very very home made
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom