Mtaka yote kwa pupa hukosa yote

Mtaka yote kwa pupa hukosa yote

Mimi ningekua jacq ningemng'ang'ania Clement. Kwa njia yoyote 2 kwakweli.
Ungekua na mlima
Mrefu sana wa kupanda
Maana James kashaharbu
Tena kibaya zaid kasema
Kabsa yy n x wake jacq

Hakuna kero mbaya
Kama kujua mwenzio
Kayatudia matapish
Aliyoyatapka
 
Ungekua na mlima
Mrefu sana wa kupanda
Maana James kashaharbu
Tena kibaya zaid kasema
Kabsa yy n x wake jacq

Hakuna kero mbaya
Kama kujua mwenzio
Kayatudia matapish
Aliyoyatapka
Yan kwa hali na mali nahakikisha anarud. Loooh James kivuruge
 
Sabalkheri wapendwa, wengine poleni na mfungo wa Kwaresima.
Leo nina ki story cha shost Jacquieline lakini nitamkatisha Jacq katika story hii maana mpaka nimalize kuandika jina lote itakuwa shughuli kidogo.

Jacq akiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM alialikwa kwenye sherehe ya harusi, classmate wake alikuwa anaolewa, katika meza aliyokaa Jacq alikaa mkaka mmoja mtulivu tu, wale makaka wa heshima zao, basi katika kusalimiana walianza kutoleana maneno ya utani na mwisho walicheza wote mziki na vicheko vingi.

Mpaka mwisho wa sherehe Jacq alifahamu mkaka anaitwa Clement na alioffer kumpa Jacq lift kwenda kokote anakokwenda. Ilikuwa bahati sana kwani Clement aliishi Boko na Jacq alikua anaishi Mwenge ukizingatia sherehe ilikua maeneo ya katikati ya mji.

Jacq aliposhushwa nyumbani walishabadilishana namba za simu na Clement, walishapanga kukutana tena weekend inayofuatia.

Jacq alikuja kufahamu Clement ni mkaka wa 35+ na amerudi Tanzania si muda mrefu aliishi ughaibuni kwa miaka mingi akiwa masomoni na kutafuta maisha. Jacq alikua na miaka 27, lakini alivutiwa sana na Clement, kuanzia maongezi, mavazi, utanashati, jokes na vingi vingine.

Urafiki wao uliendelea na Jacq alikuwa mgeni mzoefu nyumbani kwa Clement. Clement alimsaidia Jacq kulipa kodi ya mwaka mzima mpaka atakapomaliza shule. Mipango ya baadae ilikuwa ni ndoa mara Jacq atakapomaliza shule. Kuishi Mwenge ilikuwa rahisi kwa Jacq kuwahi lectures na alikuwa na uwezo wa kukaa library kwa muda mrefu bila kuwaza kero ya usafiri.

Kulitokea tatizo mkoani katika ofisi ya Clement, boss wake alimtuma yeye aende kuliangalia limekaaje. Clement alimuaga Jacq kuwa hajui atarudi lini kwani haelewi tatizo liko vipi, inawezekana ikamchuka wiki nzima au hata wiki mbili. Kwa masikitiko Jacq alipokea muago ule.

Jacq alikuwa na boyfriend wake wa kwanza ambaye walimaliza wote form six anaitwa James, wote walikuwa chuo, James akiwa anasoma BA Hons Education Jack alisomea sheria. Walishaachana long time lakini walibaki marafiki.

Siku hiyo Jacq alipenda kula samaki lakini muda wa kupata samaki fresh ulikuwa mdogo akitoka asubuhi anarudi nyumbani saa nne/tano usiku akitokea library baada ya lectures. alimuomba jirani yake amnunulie samaki, jirani aliahidi kumkaangia pia samaki wale. Lakini jirani apomaliza ku marinate samaki wale kwa limao chumvi na pilipili alipata udhuru, aliwaweka samaki kwenye fridge.

Jacq alirudi saa nne usiku akiwa na James, baada ya maongezi ya mchana waliamua kukumbushia. Alipofika nyumbani alikabidhiwa samaki wake, jirani akimtaka radhi. Jacq alitoa jiko nje akaanza kukaanga wale samaki, kule ndani James akiwa ndani ya shorts alikuwa anaburidika na upepo wa feni huku akiwa anaangalia taarifa ya habari ya saa nne.

Kumbe bwana Clement alipigiwa simu anahitajika ofisini kwao Dar na asitishe safari yake, aliingia Dar saa kumi jioni lakini hakutaka kumsumbua Jack wakati alifahamu ratiba yake, hivyo aliamua kwenda nyumbani kwake lakini aliamua kumfanyia surprise saa nne usiku.

Alipofika alimkuta Jacq anakaanga samaki nje lakini unajua ile ghafla mtu anakuona na furaha kumwishia, Clement hakuelewa, walisalimiana na akamwambia mumii ninaona umechoka ngoja nikusubiri ndani. Amefika ndani anamkuta James ameenea kitandani na shorts yake.

Clement alikuwa muungwana sana, alimuuliza yeye ni nani kwa Jacq, bila kufahamu Clement alimueleza kuwa walianza kudate long time ago lakini anaona alifanya mistake kumwacha Jacq na yeye anahisi kama Jacq pia anahisi hivyo hivyo mpaka amemwalika pale, anaamua kurudisha majeshi.

Clement akiwa anatetemeka alisikiliza vizuri na kwa umakini, James alitaka kufahamu Clement ni nani, Clement alimwambia yeye ni mtoto wa shangazi yake Jacq na alikuwa na salamu kutoka nyumbani, hivyo hakutaka zichelewe ndiyo maana alikuja usiku ule, alimkaribisha James kwenye familia na akaondoka, nje alimuaga Jacq vizuri na kuondoka.

Jacq alijua kosa alilolifanya, asubuhi aliwahi ofisini kwa Clement, Clement alishamfahamisha secretary wake kuwa akija Jacq amfahamishe kuwa yuko busy, Jacq kufahamishwa Clement yuko busy alisema atamsubiri, alishinda na secretary mpaka alipochoka aliondoka. James alipogundua Clement ni nani yeye pia alipata hasira na kumuacha Jacq.
[emoji121]
MKUU,
SAMARI TAFADHALI!
 
Nice short story,sad end though. Part 2 ?
 
Usisahau yy alishasema
N mtt wa shangaz[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Clement Ni mstaarabu hakutaka ugomvi na mtoto mdogo km James. He is such a gentleman. Jacq ajitahidi tu binadamu hakuna aliyekamilika[emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Hiv kuchepuka n makosa
Yakujitakia au n
Bahat mbaya kama ilivo kwa
Emergency zingine
 
Hiv kuchepuka n makosa
Yakujitakia au n
Bahat mbaya kama ilivo kwa
Emergency zingine
Inategemea mkuu. Ukute James ana maneno matamu yakamfanya binti ashindwe kuresist.
All in all jacq ni binadamu Clement ifike mahali amuelewe na apokee msamaha wake
 
Sabalkheri wapendwa, wengine poleni na mfungo wa Kwaresima.
Leo nina ki story cha shost Jacquieline lakini nitamkatisha Jacq katika story hii maana mpaka nimalize kuandika jina lote itakuwa shughuli kidogo.

Jacq akiwa mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM alialikwa kwenye sherehe ya harusi, classmate wake alikuwa anaolewa, katika meza aliyokaa Jacq alikaa mkaka mmoja mtulivu tu, wale makaka wa heshima zao, basi katika kusalimiana walianza kutoleana maneno ya utani na mwisho walicheza wote mziki na vicheko vingi.

Mpaka mwisho wa sherehe Jacq alifahamu mkaka anaitwa Clement na alioffer kumpa Jacq lift kwenda kokote anakokwenda. Ilikuwa bahati sana kwani Clement aliishi Boko na Jacq alikua anaishi Mwenge ukizingatia sherehe ilikua maeneo ya katikati ya mji.

Jacq aliposhushwa nyumbani walishabadilishana namba za simu na Clement, walishapanga kukutana tena weekend inayofuatia.

Jacq alikuja kufahamu Clement ni mkaka wa 35+ na amerudi Tanzania si muda mrefu aliishi ughaibuni kwa miaka mingi akiwa masomoni na kutafuta maisha. Jacq alikua na miaka 27, lakini alivutiwa sana na Clement, kuanzia maongezi, mavazi, utanashati, jokes na vingi vingine.

Urafiki wao uliendelea na Jacq alikuwa mgeni mzoefu nyumbani kwa Clement. Clement alimsaidia Jacq kulipa kodi ya mwaka mzima mpaka atakapomaliza shule. Mipango ya baadae ilikuwa ni ndoa mara Jacq atakapomaliza shule. Kuishi Mwenge ilikuwa rahisi kwa Jacq kuwahi lectures na alikuwa na uwezo wa kukaa library kwa muda mrefu bila kuwaza kero ya usafiri.

Kulitokea tatizo mkoani katika ofisi ya Clement, boss wake alimtuma yeye aende kuliangalia limekaaje. Clement alimuaga Jacq kuwa hajui atarudi lini kwani haelewi tatizo liko vipi, inawezekana ikamchuka wiki nzima au hata wiki mbili. Kwa masikitiko Jacq alipokea muago ule.

Jacq alikuwa na boyfriend wake wa kwanza ambaye walimaliza wote form six anaitwa James, wote walikuwa chuo, James akiwa anasoma BA Hons Education Jack alisomea sheria. Walishaachana long time lakini walibaki marafiki.

Siku hiyo Jacq alipenda kula samaki lakini muda wa kupata samaki fresh ulikuwa mdogo akitoka asubuhi anarudi nyumbani saa nne/tano usiku akitokea library baada ya lectures. alimuomba jirani yake amnunulie samaki, jirani aliahidi kumkaangia pia samaki wale. Lakini jirani apomaliza ku marinate samaki wale kwa limao chumvi na pilipili alipata udhuru, aliwaweka samaki kwenye fridge.

Jacq alirudi saa nne usiku akiwa na James, baada ya maongezi ya mchana waliamua kukumbushia. Alipofika nyumbani alikabidhiwa samaki wake, jirani akimtaka radhi. Jacq alitoa jiko nje akaanza kukaanga wale samaki, kule ndani James akiwa ndani ya shorts alikuwa anaburidika na upepo wa feni huku akiwa anaangalia taarifa ya habari ya saa nne.

Kumbe bwana Clement alipigiwa simu anahitajika ofisini kwao Dar na asitishe safari yake, aliingia Dar saa kumi jioni lakini hakutaka kumsumbua Jack wakati alifahamu ratiba yake, hivyo aliamua kwenda nyumbani kwake lakini aliamua kumfanyia surprise saa nne usiku.

Alipofika alimkuta Jacq anakaanga samaki nje lakini unajua ile ghafla mtu anakuona na furaha kumwishia, Clement hakuelewa, walisalimiana na akamwambia mumii ninaona umechoka ngoja nikusubiri ndani. Amefika ndani anamkuta James ameenea kitandani na shorts yake.

Clement alikuwa muungwana sana, alimuuliza yeye ni nani kwa Jacq, bila kufahamu Clement alimueleza kuwa walianza kudate long time ago lakini anaona alifanya mistake kumwacha Jacq na yeye anahisi kama Jacq pia anahisi hivyo hivyo mpaka amemwalika pale, anaamua kurudisha majeshi.

Clement akiwa anatetemeka alisikiliza vizuri na kwa umakini, James alitaka kufahamu Clement ni nani, Clement alimwambia yeye ni mtoto wa shangazi yake Jacq na alikuwa na salamu kutoka nyumbani, hivyo hakutaka zichelewe ndiyo maana alikuja usiku ule, alimkaribisha James kwenye familia na akaondoka, nje alimuaga Jacq vizuri na kuondoka.

Jacq alijua kosa alilolifanya, asubuhi aliwahi ofisini kwa Clement, Clement alishamfahamisha secretary wake kuwa akija Jacq amfahamishe kuwa yuko busy, Jacq kufahamishwa Clement yuko busy alisema atamsubiri, alishinda na secretary mpaka alipochoka aliondoka. James alipogundua Clement ni nani yeye pia alipata hasira na kumuacha Jacq.
Nahisi ni zaidi ya story kuna kitu cha ziada
 
Inategemea mkuu. Ukute James ana maneno matamu yakamfanya binti ashindwe kuresist.
All in all jacq ni binadamu Clement ifike mahali amuelewe na apokee msamaha wake
Dhaaa!! Jacq hapo atapga na magot
Maaana mwanaume kusamehe hlo
Kosa n kaz kweli.kweli

Ila. Clement kwa ule upole
Na anaonekana kumpenda
Sana jacq

Jacq akijitahid huu mtihan
Anaushinda
 
Jak angeweka sheria kwake anayepaswa kuingia ndani ni Clement tuu, wengine woote nje ya hapo. Wala asingejuta sasa hv angekula zake bats tuu.
 
Sitetei usaliti. Lkn kuna vitu wakati mwingine vinatokea nje ya uwezo wa mtu. Ambaye alishindwa kujaribiwa na shetani ni Yesu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Yaan ndio unazidi kutetea
Ume double down
Diiih!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom