Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,676
- 126,844
Mwamtoe tu hana jipya tena
Uzuri wa tiss hata akitengeliwa anapewa majukumu mengineKwan TISS hawatenguliwi
Duh! mamlaka ya uteuzi ikiwa inaondoa watendaji wazuri kwasababu ya majungu na kusagiana kunguni unakuwa ni udhaifu wa hali ya juu.
Ndio maana wale akina naniliu walikataa teuzi, na hata yule bosi wa zamani wa ile idara ya wale jamaa wanaojaza majina yao kwenye 'mikeka' 🫡
Wateule wapimwe kwa utendaji wao kulingana na malengo waliyokubaliana na kiongozi wao. Ujinga mwingine wote upuuzwe.
Anahesabiwa tu, ni Chadema mzuriUzushi wa karne.
Dodoma alitolewa kufuatia hotuba yake kali kama ‘vigogo wakikuambia mtoto wako asisome tuition kataa sababu watoto wao wanasoma Feza na shule zingine nzuri’
Kauli hii iliwakera sana vigogo na kama angekuwa RC mzembe angeachwa.
Mtaka hawezi andikiwa hotuba na mtu yyt,yupo sawa sana kichwani.
Acha ushamba we mzee. Acha kushabikia upuuzi. Umri wako ni mkubwa mrejee Mungu ukikikaribia kifo chako kuliko kushabikia upuuzi kama ulioandika hapa. IdiotMwamtoe tu hana jipya tena
Kazi ya Mtaka haihitaji kelele inajitetea yenyewe ata akitolewa nina imani ipo siku atawekwa sehemu kubwa zaidi ya hiyo

Mshamba mumeo wewe mjinga, baada ya kupata ujauzito unakutesa usiniletee hapa peleka kwa mumeoAcha ushamba we mzee. Acha kushabikia upuuzi. Umri wako ni mkubwa mrejee Mungu ukikikaribia kifo chako kuliko kushabikia upuuzi kama ulioandika hapa. Idiot
Ni kweli .Katiba mpya haiwezi patikana wakati hakuna wa kujitokeza ata barabarani kudai au kulalamika kuhusu mfumuko wa bei inawashinda mtapewaje katiba mpya?.
Watanzania wote 61mln mnazidiwa na Erick omond mmoja wa kenya kaanzisha vita Odinga kafata kenya sasa hivi hakukaliki
so what !!!?Mtaka ni tiss toka mzumbe