Mtaka ndiye unayefuata

Mtaka ndiye unayefuata

Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!

Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.

Pole mwanamme mwenzangu!
Kwani ana u spesho gani huyo mbona mna mpaisha bila sababu za msingi?
 
Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!

Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.

Pole mwanamme mwenzangu!
Duh...!. Hili likifanyika litakuwa ni kosa kubwa ambalo hata Mama litamgharimu!. Kuna watu wa kuchezea na kuna watu sio wa kuchezea.

P
 
KATIBA MPYA ni zaidi ya huyo Antonio mtakuja. Tunadai KATIBA mpya
Katiba mpya haiwezi patikana wakati hakuna wa kujitokeza ata barabarani kudai au kulalamika kuhusu mfumuko wa bei inawashinda mtapewaje katiba mpya?.
Watanzania wote 61mln mnazidiwa na Erick omond mmoja wa kenya kaanzisha vita Odinga kafata kenya sasa hivi hakukaliki
 
Watanzania wote 61mln mnazidiwa na Erick omond mmoja wa kenya kaanzisha vitazip Odinga kafata kenya sasa hivi hakukaliki
Mkuu barabara zipo Ingia Kwanza wewe sisi wengine tutafuata badae
 
Anza wewe vzr gharama yani si tuingie barabarani, we utulie kwenye makochi ya shemeji yako unasubili tukuletee KATIBA
Nachukia watu wasiotumia kichwa na kutumia makalio kama wewe kuishi.Ulisoma ukaelewa nilichoandika au kwa sababu tu vijana wa upinde wa mvua mmeambiwa na nyie mna haki kwenye jamii....Mm sio bashaaa so kaushana na mm plz.
 
Katiba mpya haiwezi patikana wakati hakuna wa kujitokeza ata barabarani kudai au kulalamika kuhusu mfumuko wa bei inawashinda mtapewaje katiba mpya?.
Watanzania wote 61mln mnazidiwa na Erick omond mmoja wa kenya kaanzisha vita Odinga kafata kenya sasa hivi hakukaliki
Tanzania siyo Kenya!
 
Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!

Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliye kunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.

Pole mwanamme mwenzangu!
Utakuwa jinsia ya ke.
 
Alimnokolea mhhhh!!!
 
Ujeuri, ujuaji sana na dharau vikizidi uzuri wote unafifia ndio hivo yaani.
Kale kaujita kanamponza kau "yego Jaji" "yego chikaka", masologo Manyege.

Alikuja dodoma kutoka Simiyu kabebelea masufuria ya kupikia wanafunzi kwenye makambi, akaulizwa, haya makambi unayaanzisha kwa mujibu wa kifungu kipi Cha sheria ya elimu? Yego, ganu makambi ga chisabato Jaji? Mai laaata.

Akatoka akaenda kuropoka barabarani.

Serikali ni kama Tembo, huwezi kumgeuza kama unavyomgeuza sungura.
 
Duh...!. Hili likifanyika litakuwa ni kosa kubwa ambalo hata Mama litamgharimu!. Kuna watu wa kuchezea na kuna watu sio wa kuchezea.

P
Alipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.

Bila kupewa nondo za kuongea na akina Malisa na Dk Cyrilo, ni mweupe tu. Sasa RC anaandikiwa speech na Malisa mwana CDM
 
Back
Top Bottom