Mtaka ndiye unayefuata

Mtaka ndiye unayefuata

Unajua bora uwe na maamuzi ya kuamua unaweka wazi au husemi kabisa. Kama mtaka unamjua vizuri na hutaki kumwaga unga mfate kwake uongee nae kiume...
Umeongea sawa.

Kijana Mtaka ni mchapakazi mwenye moyo safi.

Kilichofanya nimfahamu ni kule kukataa kuwaweka ndani watendaji alipokuwa Simiyu, ili kumfurahisha Mwendazake.

Kijana ana kitu si kichwani tu, na moyoni.
 
CCM njombe wasipokuwa makini, jamaa atapitisha mbunge wa upinzani wa kwanza kwa Mkoa wa njombe, anashinda sana kwenye magrupu ya wasap ya CDM, wamchunguze kwa makini.

Humsikii anachangia ujenzi wa Ofisi za CCM, akisikia mwana CDM anaumwa, Yuko tayari hata akope
 
Atakuja mhunze mnadani mchome wote nyama za mbuzi.

Yes ni suala la Mda tu si
unaona Hata lile zengwe la mifuko hewa ya mbolea lilikuwa kwake

Team msoga wanamtafuta Kwa fujo Sana Huyu mzalendo
aliyebaki
Hana uzalendo wowote ni mpigaji mzuri sana
 
Yaani alitaka kuharibu mfumo wa Elimu Tanzania. Huwezi kumwandaa mwanafunzi akariri kitu fulani ili afaulu mtihani , mwanafunzi aandaliwe kupata skills na sio kufaulu mtihani. Style ile ingepelekea walimu kutofundisha na kusubili kipindi cha Makambi kuwakaririasha wanafunzi. Msimsingizie Mama Samia tusingeweza kuwa na mtu dizaini ile hapa makao makuu ya nchi.
Mtaka
Msonde they're scammer's
 
CCM njombe wasipokuwa makini, jamaa atapitisha mbunge wa upinzani wa kwanza kwa Mkoa wa njombe, anashinda sana kwenye magrupu ya wasap ya CDM, wamchunguze kwa makini.

Humsikii anachangia ujenzi wa Ofisi za CCM, akisikia mwana CDM anaumwa, Yuko tayari hata akope
Duh!,Mkuu wake wa kazi alialikwa siku ya wanawake Duniani.
Awamu hii kuwa cha upinzani si uadui.!
 
Anthony, nakutonya mdogo wangu mfumo haukutaki na ni sababu tu inatafutwa ili ikumwage!

Kama mhangaikaji na binadamu mwenzangu nakuomba jiandae kisaikolojia yule jamaa aliyekunokolea kipindi ulipokuwa Mvomero kuna kila dalili anaelekea kufanikiwa tena.

Pole mwanamme mwenzangu!
Ila nilimpenda kwenye mgomo wa Daladala aliyomalizana nao

Hongera Mtaka
 
Alipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.

Bila kupewa nondo za kuongea na akina Malisa na Dk Cyrilo, ni mweupe tu. Sasa RC anaandikiwa speech na Malisa mwana CDM
Mzee una chuki zako tu mbona jamaa yupo vizur
 
CCM njombe wasipokuwa makini, jamaa atapitisha mbunge wa upinzani wa kwanza kwa Mkoa wa njombe, anashinda sana kwenye magrupu ya wasap ya CDM, wamchunguze kwa makini.

Humsikii anachangia ujenzi wa Ofisi za CCM, akisikia mwana CDM anaumwa, Yuko tayari hata akope
Upuuzi mtupu we mdada acha fitina!!
 
Alipimwa pale dodoma akaonekana hatoshi, akawa demoted kwenda kusimamia mashamba ya miti na matunda.

Bila kupewa nondo za kuongea na akina Malisa na Dk Cyrilo, ni mweupe tu. Sasa RC anaandikiwa speech na Malisa mwana CDM

Uzushi wa karne.
Dodoma alitolewa kufuatia hotuba yake kali kama ‘vigogo wakikuambia mtoto wako asisome tuition kataa sababu watoto wao wanasoma Feza na shule zingine nzuri’
Kauli hii iliwakera sana vigogo na kama angekuwa RC mzembe angeachwa.

Mtaka hawezi andikiwa hotuba na mtu yyt,yupo sawa sana kichwani.
 
Back
Top Bottom