Dotto Kajole Fimbo
Member
- Nov 16, 2016
- 30
- 52
Masaki Tengeneza kishelve classic weka matunda utauza tu. Kule ndizi Tsh.300Kwa eneo nililopo hakuna kwasababu naishi masaki kwa dada yangu na kwa mtaji nilionao na eneo ninaloishi hakuna nachoweza kufanya
Jitazame wewe mwenyewe una kipaji gani mfano ususi / mapishi then anzisha biashara kutokana na kipaji ulichonacho hii itakusaidia kupunguza changamoto ndogo ndogo zinazoweza kujitokeza kama vile usimamizi n.k
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Masaki Tengeneza kishelve classic weka matunda utauza tu. Kule ndizi Tsh.300
Mzee 300 tu hii bei ya tabataMasaki Tengeneza kishelve classic weka matunda utauza tu. Kule ndizi Tsh.300
Tafuta frem ya 50elfu sehmu ynye kuelewek kidogo ulipe miezi mitatu, fungua jiko kubw chips mishkaki na nyama za kuku! ukibaki na 30elfu nambie tuloge uuze kwa amani..!Habari zenu wapendwa mimi ni binti wa miaka 23 naombeni ushauri wa kimawazo nipo Dar es salaam nina mtaji wa million 1 na laki 2
Lakini kila nikifikiria biashara gani nifanye nashindwa nifanye nini nisaidieni jamani kwa mtaji huo naweza fanya biashara gani?
Yah, yani idea iwe kama yale maduka ya iPhone vimbao mbao mbao flani hivi amazing hata shelve ikiwa moja kubwa akakat partition sio mbaya, uzuri wa matunda anaweza tumia laki 3 tu kama mtaji na anapata mzigo wa kueleweka tu.Mzee 300 tu hii bei ya tabata
Kule ndizi hata 400 unauza cha msingi aweke hilo goli kwenye hali ya usafi
tafuta frem ya 50elfu sehmu ynye kuelewek kidogo ulipe miezi mitatu, fungua jiko kubw chips mishkaki na nyama za kuku! ukibaki na 30elfu nambie tuloge uuze kwa amani..!
njoo mbezi mwisho utafute kibanda ha karibu na stend mpya uweke vi sandroz vya kike, vocha line za simu ikiwezekana na tigopesa,,, kuna mzunguko sana hapa utojuta
Kamanda..! unajishughulisha hapo Mbezi mwisho ?njoo mbezi mwisho utafute kibanda ha karibu na stend mpya uweke vi sandroz vya kike, vocha line za simu ikiwezekana na tigopesa,,, kuna mzunguko sana hapa utojuta
Ewalaa..!Yah, yani idea iwe kama yale maduka ya iPhone vimbao mbao mbao flani hivi amazing hata shelve ikiwa moja kubwa akakat partition sio mbaya, uzuri wa matunda anaweza tumia laki 3 tu kama mtaji na anapata mzigo wa kueleweka tu.
Muhimu ni ile service experience iwe bomba usafi na kauli nzuri. Aombe place kwenye frame ya mtu kwa nje afanye kazi. Naamini ndani ya miezi kadhaa atakuja kuleta mrejesho.
Yah, yani idea iwe kama yale maduka ya iPhone vimbao mbao mbao flani hivi amazing hata shelve ikiwa moja kubwa akakat partition sio mbaya, uzuri wa matunda anaweza tumia laki 3 tu kama mtaji na anapata mzigo wa kueleweka tu.
Muhimu ni ile service experience iwe bomba usafi na kauli nzuri. Aombe place kwenye frame ya mtu kwa nje afanye kazi. Naamini ndani ya miezi kadhaa atakuja kuleta mrejesho.
shughuli zangu nafanyia maeneo haya ya mbezi japo sio biasharaKamanda..! unajishughulisha hapo Mbezi mwisho ?
Sio bei sana kuna vibanda vya kudumu vile unaweza fungia bidhaa ndan na kula vile vya wazAsante sana huko vibanda sio bei sana?
Sawa! Hivi hakuna ugumu kupata eneo haposhughuli zangu nafanyia maeneo haya ya mbezi japo sio biashara
Poa mkuuHili ntalifanyia kazi ubarikiwe
Ugumu upo ila sio sana sababu bado shaghala bagala sana,,,tanroads hawajapangilia bdo tukaajeSawa! Hivi hakuna ugumu kupata eneo hapo