Mtaji milioni moja laki saba. Nifanye nini ndani ya Dar nitoke

Sela Son

JF-Expert Member
Dec 31, 2018
1,017
2,000
Asee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.

Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza biashara ya kufanya hapa jijini..Lkini mambo magumu. Nipate faida nisijelia mtu mzima.

KatikA ushauri wenu ..Cha kukumbuka tu Mimi sina nyumba dar ila naishi dar.
KAMA HUNA CHA KUCHANGIA SI LAZIMA UANDIKE.

Mola atusaidie.
 

Minael Masasi

Member
Jan 10, 2019
34
125
Kodi shamba lenye chanzo cha maji karibu,, lima mazao ya biashara kama nyanya, au mbogamboga au nipigie 0745478823 nikupe mwongozo...
 

juma mpemba

JF-Expert Member
Aug 1, 2017
2,660
2,000
Nenda mbeya kanunue vitenge...ukiuza sehemu fulani vijijini ambako sasa wanavuna..unauza cash 20elfu na kukopesha ni 25 elfu kwa pande mbili iwe wax,java au soso....pande tatu kukopesha 35,,cash 30,,,WIKI MBILI KUKOPESHA,,,baada ya wiki tatuu utakua na mtajix2....NB:Wiki ya tatu ni kwa wateja wasumbufu,,pia jiandae kupambana na chuma ulete a.k.a hela za moto
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom