Mtaje Mnyama au Mdudu unayemuogopa

Panya buku huwa anapiga sarakasi nyumbani kwangu anapo kimbilia kwenye shimo baada ya kuniona
 
Wale wadudu wa miembe na mikorosho msimu wa kutoa maua..
..nawaogopa sana na siwapendi hata kuwaona mwili unasimsimka
 
Samahani jinsia yako ni gani?
 
Mnyama mdogo aitwaye binadamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…