Mtafika tu Kituoni cha Polisi

usiombe ukutane na traffic police mwanamke utajuta...utachunwa kama linavyochunwa buzi la vingunguti
 
usiombe ukurane na traffic police mwanamke utajuta...utachunwa kama linavyochunwa buzi la vingunguti

waliwahi kunisimamisha matrafiki wawili wanawake, ebanae walinisumbua kila walichoomba nkawapa, leseni, reflecta triangle, jeki, fire extinguisher etc, wakakosa pozi wakaanza kuniuliza ivi unakaa wapi, unafanya kazi bugando? nikawajibu ndiyo wakaniambia haya nenda........nikacheeeeeka
 
huyo si trafic police, trfic police wanavaa kofia nyeupe.
 
hilo karandinga jamani... usalama upo hapo...in case of anything tutasemaje sasa
 
Kitendo alichokifanya huyo polisi mwanamke ni unyanyasaji wa kijinsia.
 
bongo kwa rushwa,
watatoka tu hata kama huo mfuko aliowabebea una hela bandia au bangi wataondoka nao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…