Mtaani Serikali ya Rais Samia inapoteza uungwaji mkono kwa kasi ya kutisha

Wew ni nani hasa kwangu hata unipangie Cha kuchangia kwenye hilo la Uchumi. Acha kejeli na kebehi, acha nizungumze kwa vile naumizwa lakini pia ni haki yangu KIKATIBA, vinginevyo kaa kimya.

Nakufananisha na MBWA MWENYE MNOFU MDOMONI ambaye kiukweli HAWEZ KUBWEKA

Acha miye ninayenyonywa niseme buanaaa
Kwa hiyo wewe ni mbwa anayebweka kwa sababu huna mnofu? Utapataje mnofu kama umekaa hujishughulishi na fursa zinapita?

Utabweka mpaka uwe mbwa koko daaadadeki
 
Back
Top Bottom