barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,726
- 32,828
Hivi hii Revonnia Massage Parlour imehamia wapi??maaana nimerudi mjini nakuta pale pamevunjwa na kunajengwa ukuta mkubwaaaaaa....daaah wapo wapi hawa watoa huduma??maana nina complimentary yao hapa.
Kuna dada anaitwa Zenna,tabibu mzuri kweli kweli wa misuli,wameahamia wapi??maana nimerudi mjini naona hakuna kitu pale....maaana kitambooo������������
Kuna dada anaitwa Zenna,tabibu mzuri kweli kweli wa misuli,wameahamia wapi??maana nimerudi mjini naona hakuna kitu pale....maaana kitambooo������������