Mama Nehemiah
JF-Expert Member
- Sep 9, 2018
- 241
- 433
Wakuu poleni na hongereni na majukumu
Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo husika na kunishauri in /out kuanzia mwanzo wa upandaji mpaka pale nitakapovuna.
Binafsi nimeshaanza kukusanya maarifa ya hapa na pale lakini nataka mtaalamu wa kuniongoza (aweze kufika si kwa simu) kabla sijaweka miche ardhini.
Tafadhali karibu Pm tuyajenge kaeneo kapo Dar