Tunauza miche ya Papai za kisasa za muda mfupi

Mosses Anney

Member
Joined
Sep 2, 2015
Posts
8
Reaction score
3
Papai za Kisasa za mda mfupi

Kilimanjaro

Tunauza miche ya papai (Malkia F1). Hii ni mipapai ya kisasa toka Taiwan.
Mipapai hii uweka matunda ikiwa na urefu usiozidi mita moja toka ardhini.
Kila mpapai ubeba matunda yasiyopungua 85, mpaka 110. Mapapai haya nyama yake ni nyekundu na ni matamu sana. Mapapai haya yanauwezo wa kukaa ndani baada ya kuvunwa kwa mwezi moja bila kuoza na katika mti wake yanaweza kudumu kwa miezi 3.
Haya ni mapinduzi makubwa katika kilimo cha mipapai.
Mapapai haya uanza kuvunwa yakiwa na umri kati ya miezi 6 - 8, na uendelea kutoa matunda mfululizo bila kukoma kwa miaka 4.
Karibu katika kilimo chenye manufaa makubwa na chenye uwezo wa kubadili maisha yako.

Mche -3500
Mbegu-30,000

0752972727
 
Attachments

  • IMG_20180418_180243.jpg
    IMG_20180418_180243.jpg
    91.4 KB · Views: 330
  • IMG_20180418_180501.jpg
    IMG_20180418_180501.jpg
    61.9 KB · Views: 293
  • IMG-20170825-WA0017.jpg
    IMG-20170825-WA0017.jpg
    65.5 KB · Views: 307
Papai za Kisasa za mda mfupi

Kilimanjaro

Tunauza miche ya papai (Malkia F1). Hii ni mipapai ya kisasa toka Taiwan.
Mipapai hii uweka matunda ikiwa na urefu usiozidi mita moja toka ardhini.
Kila mpapai ubeba matunda yasiyopungua 85, mpaka 110. Mapapai haya nyama yake ni nyekundu na ni matamu sana. Mapapai haya yanauwezo wa kukaa ndani baada ya kuvunwa kwa mwezi moja bila kuoza na katika mti wake yanaweza kudumu kwa miezi 3.
Haya ni mapinduzi makubwa katika kilimo cha mipapai.
Mapapai haya uanza kuvunwa yakiwa na umri kati ya miezi 6 - 8, na uendelea kutoa matunda mfululizo bila kukoma kwa miaka 4.
Karibu katika kilimo chenye manufaa makubwa na chenye uwezo wa kubadili maisha yako.

Mche -3500
Mbegu-30,000

0752972727
Mbegu package yake ikoje kwa hiyo hela?
 
Duh bei kubwa hata Sua hawauzi bei hiyo
 
Je,
1). Ekari moja ni miche mingapi?
2). Inastawi Pwani?
3). Hizo mbegu ni kiasi gani (idadi au uzito)?
 
Ekari moja ni miche 1000
Pwani inafanya vema sana kwaajili ya joto na udongo rafiki kwa papai
mbegu ni 70/80 kwa pakti
 
Back
Top Bottom