Mtaalamu wa usahauri kuhusu mapapai ya kisasa

Mama Nehemiah

JF-Expert Member
Sep 9, 2018
241
433
Wakuu poleni na hongereni na majukumu

Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo husika na kunishauri in /out kuanzia mwanzo wa upandaji mpaka pale nitakapovuna.

Binafsi nimeshaanza kukusanya maarifa ya hapa na pale lakini nataka mtaalamu wa kuniongoza (aweze kufika si kwa simu) kabla sijaweka miche ardhini.

Tafadhali karibu Pm tuyajenge kaeneo kapo Dar
 
Mkuu Mimi Nipo dar ila hayo mapapai ya kisasa ukichuma michumo mara 2 miti unachoka na hauendelei tena .nimeshaotesha sana hata ukiangalia post zangu huko nyuma .kwa sasa nina andaa miche ya kienyeji iliyoboreshwa inazaa kwa muda mrefu na ndani tunda lina rangi nyekundu inayopendwa sokoni.
 
Mimi nimepanda mbegu inaitwa malkia F1 nimeambiwa nitavuna kwa miaka miwili(kwa mwaka matunda nitavuna mara 4). Sasa inamwezi na wiki moja inaendelea vizuri japo miche michache imekufa.
Ngoja nipate uzoefu wa hii ya kisasa kwa miche 50 niliyopanda nione matokeo yake.

Mkuu nitakucheki kuhusu kuotesha hiyo mbegu ya kienyeji
 
Mipapai ya kisasa ukichuma mara kadhaa ubora wa papai unaenda ukipungua
 
Wakuu poleni na hongereni na majukumu

Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo husika na kunishauri in /out kuanzia mwanzo wa upandaji mpaka pale nitakapovuna.

Binafsi nimeshaanza kukusanya maarifa ya hapa na pale lakini nataka mtaalamu wa kuniongoza (aweze kufika si kwa simu) kabla sijaweka miche ardhini.

Tafadhali karibu Pm tuyajenge kaeneo kapo Dar
Hongera katika hilo, papai limekuwa zao la mazoea kwa mikoa ya pwani. Ukipata expert nzuri itafaa au mkulima mzoefu. Karibu
 
Wakuu poleni na hongereni na majukumu

Nimepata wazo mahali ninapoishi nipande mipapai ya kisasa sasa nahitaji mtaalamu wa kilimo cha papai za kisasa tukubaliane(nitamlipa) aje kuangalia eneo husika na kunishauri in /out kuanzia mwanzo wa upandaji mpaka pale nitakapovuna.

Binafsi nimeshaanza kukusanya maarifa ya hapa na pale lakini nataka mtaalamu wa kuniongoza (aweze kufika si kwa simu) kabla sijaweka miche ardhini.

Tafadhali karibu Pm tuyajenge kaeneo kapo Dar
Mshana Jr
 
Papai kwa sasa zimekua si nyingi ukilinganisha na miaka 2 iliyo pita kwasababu wakulima wengi wa DSM mashamba nikama yamechoka na hali ya hewa imekua si rafiki sana production imepungua kiasi .Shida ipo kuanzia kwenye soil mpaka production lakini ni vyema sasa wakulima kufanya crops rotation kwa mashamba yaliyo limwa papain muda mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom