Mtaalamu Mshauri kuuhusu kuanzisha shamba la mifugo anahitajika haraka

Bavuvi

Member
Mar 1, 2008
41
95
Ninapanga kuanzisha mradi wa mifugo (kuku wa kienyeji, mbuzi, nk.) kwenye shamba la ukubwa wa ekari 7 lililopo wilaya ya Bahi Dodoma. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa uchambuzi yakinifu wa mradi wa mifugo. Nahitaji mtaalamu anisaidie kufanya yafuatayo:

1. Kutembelea eneo na kukusanya taarifa, takwimu za haraka (rapid) na kufanya uchambuzi utakaosaidia upangaji biashara kwa kutumia ushahidi (Mshauri hatahitajika kuandaa mpango halisi wa biashara) --- siku 2

2. Kwa kuzingatia takwimu kwenye Na. 1 hapo juu, kushauri kuhusu kufaa kwa eneo husika kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji, mbuzi, kondoo, ng'ombe, nk. kibiashara (angalau faida ya asilimia 20 ya mtaji uliowekezwa) --- siku 1

3. Kushauri kuhusu mpango wa matumizi bora ya ardhi, makadirio ya gharama za miundombinu na uendeshaji kwa kuzingatia matumizi ya malighafi zinazopatikani hapo kijijini, rasilimali watu na malighafi zinazohitajika kuendesha shamba kwa siku, wiki, mwezi, mwaka, nk. na matarajio ya uzalishaji (idadi ya mifugo inayokomaa kwa wiki, mwezi, mwaka, nk.) ---- siku 2

4. Kushauri kuhusu masoko

5. Jumla ya siku za utaalamu zinakadiriwa kuwa siku 5

6. Haihitajiki ripoti ndefu. Kurasa 10 zenye takwimu kujibu Na. 3 zinatosha kabisa.

7. Mwenye ujuzi, uzoefu na muda wa kuifanya hii kazi kuanzia mapema mwezi Juni 2020 anijibu tafadhali.
8. Sifa ya mwombaji: awe na elimu ya juu katika fani ya mifugo
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,832
2,000
Tuna mashamba ya mifugo na hatuna hizo elimu za juu za mifugo, kuna Jamaa angu kapiga Law lakini shamba lake la mifugo hasa mbuzi usipime. Achana na mindset za sijui awe na cheti za juu cha mifugo.

Ningekushauri au ningeweza but hiyo kwamba niwe na Vyeti vya mifugo hapana.

Utapata mwenye hivyo vyeti atakufanyia yale yale wanayo fanya kila mtu.

Heka 7 ukiipanga vizuri ni shamba kubwa mno linaweza zalisha vitu vya kutosha ila sasa inahitajika sio elimu bali ubunifu wa kiwango cha flyover kuweza kupanga.

Unatakiwa lipangwe kiasi kwamba votu vitegemeane, sasa mbuzi atamtegemea vipi Kuku au kuku atamtegemea vipi Ng'ombe ndo maswala magumu na ya muhimu sana.

Ni hayo tu
Ninapanga kuanzisha mradi wa mifugo (kuku wa kienyeji, mbuzi, nk.) kwenye shamba la ukubwa wa ekari 7 lililopo wilaya ya Bahi Dodoma. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa uchambuzi yakinifu wa mradi wa mifugo. Nahitaji mtaalamu anisaidie kufanya yafuatayo:

1. Kutembelea eneo na kukusanya taarifa, takwimu za haraka (rapid) na kufanya uchambuzi utakaosaidia upangaji biashara kwa kutumia ushahidi (Mshauri hatahitajika kuandaa mpango halisi wa biashara) --- siku 2

2. Kwa kuzingatia takwimu kwenye Na. 1 hapo juu, kushauri kuhusu kufaa kwa eneo husika kwa ufugaji wa kuku wa kienyeji, mbuzi, kondoo, ng'ombe, nk. kibiashara (angalau faida ya asilimia 20 ya mtaji uliowekezwa) --- siku 1

3. Kushauri kuhusu mpango wa matumizi bora ya ardhi, makadirio ya gharama za miundombinu na uendeshaji kwa kuzingatia matumizi ya malighafi zinazopatikani hapo kijijini, rasilimali watu na malighafi zinazohitajika kuendesha shamba kwa siku, wiki, mwezi, mwaka, nk. na matarajio ya uzalishaji (idadi ya mifugo inayokomaa kwa wiki, mwezi, mwaka, nk.) ---- siku 2

4. Kushauri kuhusu masoko

5. Jumla ya siku za utaalamu zinakadiriwa kuwa siku 5

6. Haihitajiki ripoti ndefu. Kurasa 10 zenye takwimu kujibu Na. 3 zinatosha kabisa.

7. Mwenye ujuzi, uzoefu na muda wa kuifanya hii kazi kuanzia mapema mwezi Juni 2020 anijibu tafadhali.
8. Sifa ya mwombaji: awe na elimu ya juu katika fani ya mifugo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
CHASHA FARMING

Verified Member
Jun 4, 2011
6,832
2,000
Kuna kitu kinaitwa conceptual frame work, hapo unaweka ,mbuzi, kondoo, ng'ombe na kuku yes, ila kwa kutumia Conceptual frame unaweza wewe usiwe una inject pesa za kiendesha Ng'ombe au kuku au mbuzi au kondoo, yaani kimoja wapo au viwili wapo

Top Bottom