Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

Dr nimepima Stool na damu kubwa nikakutwa na minyoo na Madonda ya tumbo(HP....positive) nimepewa rundoo la madawa....
1-albendazol.400mg
2-azithromycine 500mg.bid10/7.
3-esomeprazole 20mg
4-metronidazole 400mg bid 10/7
ni siku ya pili natumia...
swali...1- dose ni dawa???
2-kuna haja ya dose ya vitamin...???
 
Nasumbuliwa na kidneystones imeshanisumbua muno. Nisaidie
 
Mi nasumbuliwa na miguu kuuma hasa usawa wa nyayo Hadi kuja kwenye eneo la zinapoishia soksi ila kwenye pads miguu inachoma choma Sana,hasa nikikaa muda kidogo ni Kama damu haiendi vizuri,mzoezi nafanya Sana but hakuna tofauti,moyo nimepima kipimo cha echo na cgm nadhani Kama sijakosea hakuna tatizo linaonekana
Je naweza pata tiba yake
 
Mimi nina shida moja mwili unawasha sana hasa nikitembea sehemu za baridi nikapigwa na kaupepo nawashwa hadi nataka kulia sijajua tatizo nn au dawa msaada
 
Naomba msaada nilianguka uwanjani nakaangukia mkono mwezi sasa umepita kwenye maungio ya mkono na kiganja nikaenda hospital nikawekewa p.o.p Jana nikatolewa p.o.p lakini mkono umetoka tofauti umepinda na unaumba nikiufanyisha kazi chini appo no X ray na mkono ulivo kwa sasa
 
Samahi mkuu naweza pata namba yako nashida kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…