Kuna dawa yoyote inayotibu nguvu za kiume, na kama ipo mbona bado limekuwa ni janga hasa wanaume wa Dar
ipo moja inapatikan mbeya piga namba 0754446724 mwinga benjamin nauhakik nayoDawa unayoiamini kuwa inatibu kabisa vidonda vya tumbo tafadhari.. hasa home made(mbadala) au yakisasa
Nasumbuliwa na kidneystones imeshanisumbua muno. NisaidieHabari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Write your reply...
nahitaji kujua tatizo la kutoka kinyama wakat wa kutoka haja kubwa na matibabu yake
Aina yako ndo huwa wanavaa makoti na kuzunguka zunguka pale Muhimbili.Hapana Lakini jamaa zangu kama watatu ni Madaktari pia nishawahi kuwa na wachumba wawili madaktari.
Ni wewe unaitaka kupitia wanume wa dar au unaitaka kawaida tuKuna dawa yoyote inayotibu nguvu za kiume, na kama ipo mbona bado limekuwa ni janga hasa wanaume wa Dar
Duuuuh kk wanaume wa dar lishakuwa tatzo cio?
Ya kweli haya?View attachment 961783
TEETH WHITENING NASI TUTABASAM NA KUKENUA KWA UHURU NA CONFIDENCE
Ya kweli haya?
Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Samahi mkuu naweza pata namba yako nashida kweliHabari wakuu,