• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa

ProudlyG

ProudlyG

New Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
4
Points
20
ProudlyG

ProudlyG

New Member
Joined Dec 18, 2018
4 20
Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kusweet sana kwenye viganja vya mkono na mguu.....naomba msaada
 
mava the mc

mava the mc

Member
Joined
Oct 6, 2018
Messages
87
Points
125
mava the mc

mava the mc

Member
Joined Oct 6, 2018
87 125
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Samahi mkuu naweza pata namba yako nashida kweli
 
mava the mc

mava the mc

Member
Joined
Oct 6, 2018
Messages
87
Points
125
mava the mc

mava the mc

Member
Joined Oct 6, 2018
87 125
Samahani naweza pata namba yako nashida ya kukuelezea
The leading antifungal medications for ringworm are griseofulvin (Grifulvin V, Gris-PEG) and terbinafine hydrochloride(Lamisil). Both are oral medications that you take for approximately six weeks.
Both have common side effects, including diarrhea and upset stomach
 
Chimilamata

Chimilamata

New Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
4
Points
45
Chimilamata

Chimilamata

New Member
Joined Nov 26, 2017
4 45
Mtaalam mama yangu alipata ajali kilimani kwahyo anahisi maumivu makali kiunoni na chini ya maziwa,atatzo hilo ni zaidi ya miezi 6,Sasa je unaweza ukaniambia tatizo hili linatokana na nini na dawa zake ni zipi?
 
nahdy

nahdy

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2014
Messages
226
Points
225
nahdy

nahdy

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2014
226 225
Hiyo ni Kama Plantar fasciitis.

Jaribu kupuguza uzito japo kidogo utapunguza pressure kwenye nyayo.

Natumai hizo exercise ulizo ambiwa ufanya zinahusiana na hiyo Plantar fasciitis.

Kuna sindano unadungwa kwenye nyayo lakini inaeza ikazidisha shida ikawa kubwa. Watu wengi wanalalamikia hiyo sindano.
Mi nasumbuliwa na miguu kuuma hasa usawa wa nyayo Hadi kuja kwenye eneo la zinapoishia soksi ila kwenye pads miguu inachoma choma Sana,hasa nikikaa muda kidogo ni Kama damu haiendi vizuri,mzoezi nafanya Sana but hakuna tofauti,moyo nimepima kipimo cha echo na cgm nadhani Kama sijakosea hakuna tatizo linaonekana
Je naweza pata tiba yake
 
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Messages
2,451
Points
2,000
Chupayamaji

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined Sep 19, 2017
2,451 2,000
Dokta naomba nifahamishwe dawa mzuri ya sikio.Sikio linakuwa kama lina chunusi kwa ndani.Huwa inantokea mara kwa mara afu nackia kama mvumo
 
peoplejr

peoplejr

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2018
Messages
272
Points
250
peoplejr

peoplejr

JF-Expert Member
Joined Oct 5, 2018
272 250
mimi nasumbuliwa na U.T.I. huu mwaka wa sita sasa nimetumia dawa karibia zote hosptl cjapona nimechoma sindano kama zote lakini bado mwaka juzi nilianza kuisi kama kuna vitu vinatembea mwilini adi kichwani baada ya kwenda hosptla kupima nikakutwa na maralia nyng pamoja na u.t.i nikaandikiwa sindano pamoja na dawa maralia imepona lakini u.t.i vile vile ile hali ya vitu kutembea bado ipo ad sasa ivi japo imepungua kidogo,naomba msaada wako kwa ilo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

Patricya Galavemba

Member
Joined
Jan 15, 2018
Messages
7
Points
45
P

Patricya Galavemba

Member
Joined Jan 15, 2018
7 45
Hellow dr. hbari ya kazi, naomba kuuliza dawa unayoiamini ambayo inatibu tatizo la kuziba mirija ya akina mama ya uzazi na hedhi anapata kila mwezi
 
kalendi

kalendi

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2012
Messages
1,300
Points
1,500
kalendi

kalendi

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2012
1,300 1,500
Habari wadau?

Ndugu zangu takribani kama miezi 2 nasumbuliwa na magoti kuuma na baadae nimekuja kugundua ukikunja na kunyoosha kuna vitu vinalia kama kusagana hivi.

Naomba utaalamu wenu wa kujua hili ni tatizo gani na limesababishwa na nini? Na tiba yake ni nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a man of wisdom

a man of wisdom

Senior Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
177
Points
250
a man of wisdom

a man of wisdom

Senior Member
Joined Feb 1, 2017
177 250
Mimi nasumbuliwa na mba nshatumia kila aina ya dawa ni unapotea unajirudia tena
Naomba nisaidie au nipe ushauri

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitalaam unaweza kutumia griesfuvin(anti fungal zngine) but mbadala unachukua septylin vidonge vitano au sita then unasaga vinakuwa unga kbx kisha unachanganya kweny mafuta ya kupaka mfano babycare,skala nk. Kadiria mafuta concentration ya dawa iwe kubwa kwny mafuta
Matumizi: paka kila unapomaliza kuoga sehem zote zenye mba kwa kuwa haina madhara paka km mafuta tuu
Ni vzr zaid ukiwa unaoga mara mbili kwa cku yaan asubuhi unaoga kisha unapaka(hakikisha) umefuta mwili na taulo ukakauka kisha ucku unaoga unapaka tena
Matokeo: ukizingatia maelekezo hayo ndani ya cku saba tatzo linaisha kbx ama km body reaction ni tofauti unaweza kwenda mpk cku 14

Kinga: *Epuka kuchangia nguo haswa kweny mazoez ama sehem yyte inayo husisha mgusano wa ngoz(ikiwa na jasho)
*kujamiana na mtu mwenye mba
*Umalizapo kufanya mazoezi au kujamiana hakikisha unaoga kuondoa jasho na bacteria wengine
*Tumia medicated soap kwa kuoga
(Kwa wanawake utumiapo meficated soap epuka kupaka kwenye uke[vaginal opening] maana inaweza kansa ya shingo ya kizaz kwa kushambulia vimelea ulinzi[normal frola] eneo hilo)
*Zingatia usafi kijumla

....... Asante >>Pharmacist_Kulwa[scholar]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a man of wisdom

a man of wisdom

Senior Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
177
Points
250
a man of wisdom

a man of wisdom

Senior Member
Joined Feb 1, 2017
177 250
Mimi nina shida moja mwili unawasha sana hasa nikitembea sehemu za baridi nikapigwa na kaupepo nawashwa hadi nataka kulia sijajua tatizo nn au dawa msaada
Ni vyema kufika kupima kwanza ili kujua ni vimelea gan vinasababisha tatizo hilo
Japo nahc wanaweza kuwa fungus japo cjajua ni wa aina gan jaribu kufika kituo cha afya
Endapo utapendezwa unaweza kufika kweny pharmacy ukamuelezea historia kiufupi anaweza ku recommend combination ya anti fungal,anti bacteria na anti allergy(SKDERM CREAM)
.. .. Asante . >>Pharmacist_Kulwa[scholar]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
a man of wisdom

a man of wisdom

Senior Member
Joined
Feb 1, 2017
Messages
177
Points
250
a man of wisdom

a man of wisdom

Senior Member
Joined Feb 1, 2017
177 250
Naomba kuuliza dawa ya fungus sehem za sili kwa mwanaume na bei yake
Tumia Cream za Anti fungal zifuatazo japo cjajua hyo fungus imesababishwa na joto ama umeipata kwa mwanamke but na recommend anti fungal hiz
*Antanazol(ketoconazole)[5000/=]
*Sonaderm[1000 na 3000/=]
*Skderm cream[5000/=]
Matumiz yake na dosage regimes atakuelekeza muuzaji na usione tabu kumuuliza endapo hujaelewa jinsi ya kutumia maana ni haki yako
Zipo nying itategemea na maelezo yako uyakayompa physician

......... Asante... >> Pharmacist_Kulwa(scholar)

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Forum statistics

Threads 1,402,900
Members 531,005
Posts 34,408,950
Top