Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa


N

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2008
Messages
571
Likes
222
Points
60
N

Natasha Ismail

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2008
571 222 60
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Dr Sajjad,
Naomba ushauri.Nina mtoto mwenye miaka 14 na miezi 4. Anasumbuliwa na pumu ambayo imemuanza mwaka jana nimeamua nimehamishe shule asome day ili nimuangalie kwa ukaribu.Naomba ushauri wako kuhusu mambo matatu 1.Je katika umri wake anaweza kupona? 2.dawa gani nzuri kwake zinazoweza kumsaidia kupona kabisa?kunatiba yoyte mbadala ya kumaliza huo ugonjwa?
 
LALIKA NICOLAUS

LALIKA NICOLAUS

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2016
Messages
287
Likes
144
Points
60
LALIKA NICOLAUS

LALIKA NICOLAUS

JF-Expert Member
Joined Jan 31, 2016
287 144 60
Uzi huu ni wa muda mrefu hapa jamvini lakini ni muhimu uendelee kua hai. Ahsante sana doctor kwa moyo wako mkunjufu na kwa kujitolea kwako kwa manufaa ya wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
AMO MTAFUTAJI

AMO MTAFUTAJI

Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
13
Likes
5
Points
5
AMO MTAFUTAJI

AMO MTAFUTAJI

Member
Joined Nov 26, 2017
13 5 5
ninatatizo docta yani ikifika asubuhi saa12 asubuhi nikiwa mkojo umenibana yani tumbo linakuwa linauma sana halafu mbele kwenye uume ndani ya ule mrija wakutoa mkojo kuna viuvimbe kama vile vinyama vya maji nilienda hospitali kupima ultra sound wakasema cna uvimbe cjui nifanyeje docta
 
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2017
Messages
536
Likes
521
Points
180
Asclepius

Asclepius

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2017
536 521 180
Docta mke wangu amejifugua na ana week tatu mpaka sasa alinambia kuwa ana hamu ya kufanya tendo la ndoa maana alikuwa amekauka tayari sasa nimejisahau nikamwaga ndani je upo uwezekano wa kupata mimba kwa kipibdi hiki?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ananyonyesha sio rahisi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Forum statistics

Threads 1,262,399
Members 485,568
Posts 30,122,002