Mtaalamu wa Dawa na Tiba: Ninakaribisha maswali kuhusu Magonjwa, Tiba na Dawa


H

hussein sewando

New Member
Joined
Nov 20, 2018
Messages
1
Likes
0
Points
3
H

hussein sewando

New Member
Joined Nov 20, 2018
1 0 3
Write your reply...
nahitaji kujua tatizo la kutoka kinyama wakat wa kutoka haja kubwa na matibabu yake
 
P

PAMAGE

Senior Member
Joined
Nov 15, 2016
Messages
149
Likes
83
Points
45
P

PAMAGE

Senior Member
Joined Nov 15, 2016
149 83 45
Naomba kujuzwa kwa mtu aliyejifungua akapata tear 3rd degree baada ya muda mfupi nyuzi zikafumuka akarudishwa hospitali akafanyiwa perineal tear repair baadae kukawa kidonda kwa bibi kikatibiwa kwa muda wa zaidi ya miez 2 kikapona
je mtu huyu anaweza pata mtoto mwingine kwa kujifungua kawaida na asipate madhara?
 
P

prince samiry

New Member
Joined
Apr 11, 2014
Messages
1
Likes
0
Points
3
P

prince samiry

New Member
Joined Apr 11, 2014
1 0 3
Nilitaka kujua ugonjwa wa warts genital unatibika kwa dawa za kunywa tofauti na dawa ya kupaka? kama dawa za kunywa ni zipi na matumizi yake yakoje na nikutokana na hali ya warts ulizonazo au vp?
 
Chimilamata

Chimilamata

New Member
Joined
Nov 26, 2017
Messages
3
Likes
0
Points
3
Chimilamata

Chimilamata

New Member
Joined Nov 26, 2017
3 0 3
Mama angu anasumbuliwa na maumivu chini ya maziwa anasema kama panawaka moto ni homa gan hyo?
 
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
4,446
Likes
3,987
Points
280
Jumong S

Jumong S

JF-Expert Member
Joined Jul 3, 2013
4,446 3,987 280
Hapa ni uwanja wa nyumbani.Inabidi majukwaa mengine nipumzike
 
salaniatz

salaniatz

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Messages
2,472
Likes
2,796
Points
280
Age
27
salaniatz

salaniatz

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2014
2,472 2,796 280
1544363372236-png.961783

TEETH WHITENING NASI TUTABASAM NA KUKENUA KWA UHURU NA CONFIDENCE
 
P

Pochi kubwa

Member
Joined
Nov 2, 2018
Messages
9
Likes
3
Points
5
P

Pochi kubwa

Member
Joined Nov 2, 2018
9 3 5
Dr nimepima Stool na damu kubwa nikakutwa na minyoo na Madonda ya tumbo(HP....positive) nimepewa rundoo la madawa....
1-albendazol.400mg
2-azithromycine 500mg.bid10/7.
3-esomeprazole 20mg
4-metronidazole 400mg bid 10/7
ni siku ya pili natumia...
swali...1- dose ni dawa???
2-kuna haja ya dose ya vitamin...???
 
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2010
Messages
1,553
Likes
257
Points
180
OME123

OME123

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2010
1,553 257 180
Habari wakuu,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.

Karibuni sana.

View attachment 361607

Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.

Nasumbuliwa na kidneystones imeshanisumbua muno. Nisaidie
 
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2014
Messages
5,059
Likes
5,094
Points
280
Quinine Mwitu

Quinine Mwitu

JF-Expert Member
Joined Oct 19, 2014
5,059 5,094 280
Mi nasumbuliwa na miguu kuuma hasa usawa wa nyayo Hadi kuja kwenye eneo la zinapoishia soksi ila kwenye pads miguu inachoma choma Sana,hasa nikikaa muda kidogo ni Kama damu haiendi vizuri,mzoezi nafanya Sana but hakuna tofauti,moyo nimepima kipimo cha echo na cgm nadhani Kama sijakosea hakuna tatizo linaonekana
Je naweza pata tiba yake
 
U

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Messages
417
Likes
35
Points
45
U

ugido

JF-Expert Member
Joined May 29, 2014
417 35 45
Mimi nina shida moja mwili unawasha sana hasa nikitembea sehemu za baridi nikapigwa na kaupepo nawashwa hadi nataka kulia sijajua tatizo nn au dawa msaada
 
ProudlyG

ProudlyG

New Member
Joined
Dec 18, 2018
Messages
4
Likes
0
Points
3
ProudlyG

ProudlyG

New Member
Joined Dec 18, 2018
4 0 3
Mimi ninasumbuliwa na tatizo la kusweet sana kwenye viganja vya mkono na mguu.....naomba msaada
 

Forum statistics

Threads 1,273,480
Members 490,421
Posts 30,482,840