Janja PORI
JF-Expert Member
- Jul 31, 2011
- 825
- 246
ha ha eti juz kaenda kwa babu wamemrudisha job mara leo kasimamishwa inauma au ndo mtaalamu kafa au masharti kakosea
Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni.Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
<br />Bibi yeye huwa wanampakazia Uchawi kwa sababu ya macho mekundu yanayotokana na moshi wa kuni.
<br />Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?