Mtaalamu(Babu wa JAIRO) kafa

Janja PORI

JF-Expert Member
Jul 31, 2011
825
246
ha ha eti juz kaenda kwa babu wamemrudisha job mara leo kasimamishwa inauma au ndo mtaalamu kafa au masharti kakosea
 
Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
 
Hivi kwa nini mambo ya uganga mwampakazia babu tu na wala sio bibi?
<br />
<br />
Babu kwa hadithi za uongo ni hodari, Bibi ye ni hodari kwa vizawadi hasa vya kiporo asubuhi ukiamka.. We ungemsifia nani hapo? Teh teh teeh!
 
ahahahahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!
Karibu tule daku, msijesema sina ujamaa na nyie.
 
Back
Top Bottom