......... Mtaalam wa make-up anahitajika

Mamndenyi naomba kujua unatoka na baba yangu Mtambuzi au?maana sijaelewa kbs hili katazo la kutomtaja unayetoka naye ,ukishanijibu ndio tutaanzia hapo!
 
Last edited by a moderator:
Kweli kamletee daimondi kama hujalia mwenyewe,
hivi unajua kuwa anaitwa ni 'sukari ya wanawake'
jaribu uone.

Babe wewe umeandikiwa bed rest.. Mtoko wa nini tena..? Ntakuletea utakacho hom.. Ukiwataka Twanga nitakuletea.. Ukimtaka Daimondi aje akuburudishe kwa nyimbo nitakuletea hapo.. Achana na hawa akina Mamndenyi..
 
Mnh! Warembo endeleeni tu na makeup zenu! Hayo mambo ya kuwa kama sanamu mie siyawezi! Unakuta mdada kajibandika kope ndefu mzungu hafai! Yaani makope yanaonekana kabisa kuwa ni maplastiki lakini yumo tu.
kwi kwi kwiiiiiiiiiiiiiii, rafiki na mimi nataka kuanza kujiremba, lol! Mamndenyi ukipata artist mzuri ni-call please na mimi nianze
 
Last edited by a moderator:
jamani mdada mm tena nalialia haya bhana
nipe hiyo nafasi nikupambe mpaka akina Mtambuzi wakodoe macho
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…