Mtaalam asema Watanzania tujiandae kwa Msiba mzito muda wowote Daraja la Mto Wami

Engineer anapomwambia abiria waliyekutana nae safarini kuhusu suala zito la namna hii!! Hii ndio TZ bwana!! Wabunge, madiwani , wakuu wa wilaya na wakuu wa mikoa na mawaziri wenye dhamana hawaambiwi!! Negative people na negative thinking zitatumaliza wallah!!!! Kila siku tumechoka kuwekewa taharuki vichwani. Peleka hoja hii kwenye mamlaka zinaxoweza kuchukua hatua. Utakuwa umesaidia jamii hii.
Wametoa maoni kwa mamlaka husika miaka 18 iliyopita,soma in btn the lines
 
'kwani ni Mimi nilisema lizeeke...si mlipake rangi..?

"harafu kwenye kampeni zangu sikuahidi daraja; pandeni bombardia. eebo!
 
Yaani wewe habari zako ni za kibwege kibwege.. Tu ati ajari zinatokea na hazitangazwi.. Ati waulize wenyeji pale? Yaani huna ulijualo zaidi ya kukaa kijiweni kusikiliza story tu. Mara ogopa maji yaliyotulia oh chini yanaenda kasi , gari ilitumbukia ikapotea yaani yote umeadithiwa na huyo mhandisi ghost tena kakuambia daraja litaanguka ndani miezi sits kha ni zaidi ya tahahira kamuambie Jf wamemtukana. Ajari za wami ni magari yenyewe yakishindwa kupandisha milima na sio daraja pumbavu we. Umeshindwa kumleta mpumbavu mwenzio wewe nyamaza. Kawadanganye wanao

Malizana kwanza na RC Makonda kwani anawatafuteni mno ' Mashoga ' hasa Wewe ukiwa ndiyo Kiongozi wao.
 
Avatar yako ya myahudi kwenu wana kuona Una akili Sana kumbe pumba tupu kafanye research yakuambiwa changanya na yako.. Pimbi we.. Ungekuwa na IQ ya kutosha ungemzodoa ujinga mwenzio unayemuita mhandisi maarufu kuwa british walijenga daraja imara ila ni jembamba na Kama ungekuwa na IQ kidogo ungezinduka, mtu atoe onyo and then 18 years zikapita bila hata daraja kutikisika.. Mwambie ni mpumbavu Wa kiwango cha rail. Sasa na wewe ulivyo mental inaleta kama ulivyosikia ukaleta humu ndio maana umekaa uchi na wadau wanakupapasa.. Ungeleta picha za kreki labda au vyuma vimeoza lakini ati umeambiwa unaongea huku umebana pua nyonyonyo chamganya na zako. Na miezi sita itapita kitu kitaendelea kupitisha magari salama mwafaa.

Next achana na mambo ya hearsay

Naona bado unaendeleza ' Ushoga ' wako humu JF halafu tangia uwe unanitumia ' pm ' kunitaka nikakukidhi ' haja ' yako ya ' Ushoga ' na nilipokataa sasa unajifanya kunichukia. Sikia Mkuu ' Wanaume ' humu JF tupo wengi kwanini unataka tu ' ukanyagwe ' na GENTAMYCINE?
 
Naona bado unaendeleza ' Ushoga ' wako humu JF halafu tangia uwe unanitumia ' pm ' kunitaka nikakukidhi ' haja ' yako ya ' Ushoga ' na nilipokataa sasa unajifanya kunichukia. Sikia Mkuu ' Wanaume ' humu JF tupo wengi kwanini unataka tu ' ukanyagwe ' na GENTAMYCINE?
Mkuu umeniacha mdomo wazi. Huyo jamaa ni Punga?
 
Malizana kwanza na RC Makonda kwani anawatafuteni mno ' Mashoga ' hasa Wewe ukiwa ndiyo Kiongozi wao.
Vipi umeumbuka na ukilaza wako Wa kushikiwa akili sasa umeanza viroja naona una washwa na dudu unalitaka... Kama Jf mtu anaokota hoja zake kwenye bus anazileta humu akipingwa anaanza kuita watu sijui mashoga au whatever watu wasinge changia..
 
Kwa kweli hata kama Mwenyezi Mungu akituepusha na ajali mbaya, bado ni aibu kubwa kwa taifa miaka 55 baada ya uhuru kuwa na daraja kama lile la "njia moja" kwenye barabara kuu na muhimu kama ile ambayo ni kiungo cha nchi yetu baina ya mikoa ya kaskazini na mashariki! Naamini kama tukifuta mpango wa kununua bombadia moja zaidi tunaweza kujenga daraja la njia nne pale na kupunguza mpando kama ulivyo sasa!
 
Naona bado unaendeleza ' Ushoga ' wako humu JF halafu tangia uwe unanitumia ' pm ' kunitaka nikakukidhi ' haja ' yako ya ' Ushoga ' na nilipokataa sasa unajifanya kunichukia. Sikia Mkuu ' Wanaume ' humu JF tupo wengi kwanini unataka tu ' ukanyagwe ' na GENTAMYCINE?
nadhani wewe ni mzoefu Wa kupumuliwa hadi umeamua kubadilisha Mada kisa umeleta hoja urojo ya kipumbavu.. Sasa unaona aibu sababu ulidhania watu watakuona shujaa kumbe bwege ati umeambiwa na mtaalamu yaelekea alipokuwa anakuambia kwenye hilo gari alikuwa amekupakata. Tuombe mods waeleze Kama nishatuma any private msg kwako yeyote na Kama hamna hiyo accusation yako ni ya mapunga tu. Kwa hoja huniwezi na ukileta matusi nakutuliza.
 
What does it take to construct an alternative?
Ni umasikini mkubwa wa kufikiri kuna custom boarder zaidi ya mbili huko kaskazini na pia kuna idadi kubwa tuu ya wakazi wa huko miaka ya leo wanapita Single lane bridge harafu mnazungumzia kununua Radar...
bila kusahau, wameanza mkakati kujenga daraja toka maeneo ya ocean road hospital hadi coco beach. daraja refu kbs kupita baharini ktk bara la Africa. daraja lenye urefu chini ka 500 linalolisha uchumi wa nchi hata hatuna habari. it's really a shame.
 
Tayari lipo kwenye mpango wa kujengwa lingine kubwa na pana zaidi, kwa mujibu wa wizara ya ujenzi.
 
nahisi kweli kuna kitu kinaweza tokea pale, huwa nikianza kuweka Tairi pale naingiwa na woga wa ajabu sana, na hata nikiwa na safari ya huko huwa napafikiria sana pale.

Binafsi ni Mhandisi, na kuna siku nimepita hapo na jamaa yangu nikaanza kumuuliza alternative way ya kufika tanga, Arusha na Moshi kama hilo daraja siku likivunjika, ukiliangalia hilo daraja kwa jicho la kitaalamu utaona namna tunavyoishi bado zama za mawe aka stone age.
Samahani ndugu Mhandisi,naomba nikuulize swali,Hivi pale wami hapafai kujengwa bwawa la kuzalisha umeme na pakawa daraja pia juu yake? huwa nikipita pale maono yangu haya hujirudia sana huu ni mwaka wa kumi na moja sasa!
 
Back
Top Bottom